Nitajua vipi kama laptop hii ni feki

Nitajua vipi kama laptop hii ni feki

Napoleon Jr

Member
Joined
Apr 2, 2018
Posts
62
Reaction score
36
Naombeni msaada kwa sababu nataka kununua laptop kwa mtu ila naogopa asije akanishikisha...mfano kwa upande simujanja za samsung hua kuna code zake ili uweze kujua ka kitu ni original naomba kufahamishwa kwa upande wa kompyuta mpakato zenyewe tunazitambua vipi???
 
hapo huna ujanja zaidi ya uiwashe then uangalie features zote alizokutajia je zimo na ni kweli mfano kwenye my computer properties cheki ram inasoma sawa na ilivyokusudiwa, ukubwa wa Processor, hard disk na processor generation yake. then ingia google angalia jina la hiyo pc na model namba/Toleo lake kama features zake zinalingana na hiyo unayotaka kuinunua.
 
Shukhurani sana kiongoz
 
Back
Top Bottom