Leo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.
Dah, mambo ya ndoa bwana! Pole mkuu mueleweshe tu, yaongeleeni chumbani atatulia tu. Pole!
Kazi ipoLeo wife alikuwa ananieleza kuwa tangu asubuhi msichana wa kazi ameamka ana hasira nikamjibu labda huyo msichana atakuwa kwenye siku zake ndo maana ana hasira. Wife kafanya uchunguzi wake kagundua ni kweli. Sasa amerudi kwangu eti anasema nilikuwa najua kabla. Anahisi kuna namna si bure.