Nitajie serikali ya Chadema


CDM hawana viongozi bana, ni kikundi cha wachache wenye maslahi binafsi ya kikabila na kidini. Mawaziri wengine wangekuwa :
1. Kardinali Pengo
2. Askofu Mokiwa
3 etc
 
CDM hawana viongozi bana, ni kikundi cha wachache wenye maslahi binafsi ya kikabila na kidini. Mawaziri wengine wangekuwa :
1. Kardinali Pengo
2. Askofu Mokiwa
3 etc
kweli wewe umelegea kilicho baki!Cdm hawana nini?Hiyo kazi ya U-green guard inakutafuna.
 
umejibiwa vizuri na kwa ustaarabu, subiri baraza kivuli. hayo majibu mengine ni story. 2015 subiri watakaoshinda na kuteuliwa utajua viongozi wako! Kuna factors nyingi, mf kuna watu wako nje ya nchi masomoni watarudi, kuna vijana zaidi watagombea ubunge watashinda na wana uwezo nk!

Vinginevyo swali au post yako ingeweza kujibiwa hivi,

1. Ungekuwa mwanamke tutajie maboyfriend zako.

2. Ungekuwa mwanaume tutajie magirlfriend zako.

Hebu jiulize!
 
Nashindwa kuelewa uwezo wako. Wapi uliona uwaziri unasomewa. Wasomi na GREAT THINKERS WAPO KIBAO NA SI VIONGOZI WALIOTENGENEZWA KAMA WA CCM KWA MASLAHI YA WATU FULANI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…