Nitaisambaratisha CCM Kanda ya Pwani-Mabere Marando

Bila shaka lazima isambaratike![/QUOTE

Naona mnajifariji, ataisambaratisha CCM kwa Hoja ipi ambayo itafanya Watu wa Dar es salaam wabadilike? Hulu Watu wall Bise na kazi, sera ya maandamano, vurugu na propaganda zisizo na maana sijadhani Kama watakuwa tayari, binafsi naona Kama marando Anataka kujimaliza kisiasa
 
Naona uko zamu leo
 
Makamu Mkiti wa Kanda ya Pwani wa Chadema Mabere Nyaucho Marando amesema kwamba ataisambaratisha CCM katika kanda hii.

Huku akishangiliwa kwa mayowe na wajumbe na viongozi wa kanda hii inayojumuisha Dar es Salaam na Pwani,Marando amesema yeye amesomea ushushushu na atatumia Taaluma yake hiyo kuhakikisha CCM itabaki historia katika kanda hii.

Marando amesema atafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha anadhibiti mbinu zote za CCM.Na atatembea kila kona ya kanda hii kuizika CCM.

Viongozi wengine wa Kanda hii ni Mkiti Professor Abdallah Safari na Katibu wa Kanda Halima Mdee.

Marando ameongeza kwamba anaongoza kanda kubwa yenye watu wengi ambao idadi yao ni kama nchi ya Rwanda au Shelisheli.Hivyo ameahidi utumishi uliotukuka.

Asije akanukuliwa vibaya na massm maana watasema huo ushushushu ndio ugaidi.
 
Magamba at work
Jifunze kukubaliana kutofautiana lakini ni ujinga kila anayekupinga au anayepinga hoja za CHADEMA kwamba ni gamba! Hakuna asiyefahamu nini alifanya Marando wakati yupo NCCR Mageuzi, ni upumbavu ambao haujapata kutokea katika historia ya mageuzi nchi hii unless kama nawe ulikuwa kwenye kambi ya wale ambao waliivuruga NCCR!!

By the way, mimi tatizo langu ni mtu(Marando) na sio chama, so jifunze kutetea chama na sio watu! Watu hawa ni wapita njia tu lakini chama bado kitabaki pale pale...ikiwa hata Baba wa Taifa alipata kutamka kwamba CCM si baba wala mama ake, itakuwa Marando kwa CHADEMA?! Mkuu wangu vipi!
 
ameshindwa tangu zamani waliokuwa wanamshangilia hawajui kama bado anaitumikia tiss hadi kifo chake,aka pandikizi time wil tel on his peach

Unavyo angaika!hadi unatia huruma,kila kona upo,pole sana kijana.
 
Dawa ya TISS ni kuwa na TISS yetu ya chama, hapa ccm watakipata walichokuwa wanakitafuta, najua hawaamini kama CHADEMA bado tunaendelea na harakati za ukombozi, wao waliamini video ya LWAKATARE ingetuweka busy hadi kusahau kazi ya kueneza chama, IMEKULA KWAO, M4C WITH NO APOLOGY...!!! HONGERENI MAKAMANDA!
 
ameshindwa tangu zamani waliokuwa wanamshangilia hawajui kama bado anaitumikia tiss hadi kifo chake,aka pandikizi time wil tel on his peach

Unavyo hangaika kama unataka kujifungua.....!!! Naona leo upo zamu, kazi mnayo, na mimi huwa naandika kila siku kuwa KUNA KITU KIKUBWA SANA MWIGULU NA NAPE WANAWAPA, KAMA HAWAWAGUSI, SIJUI NN KINGINE MNAPEWA. LAZIMA MTAKUWA MNALIWA 0713 siyo bure!!!!
 
Jifunze kukubaliana kutofautiana lakini ni ujinga kila anayekupinga au anayepinga hoja za CHADEMA kwamba ni gamba! Hakuna asiyefahamu nini alifanya Marando wakati yupo NCCR Mageuzi, ni upumbavu ambao haujapata kutokea katika historia ya mageuzi nchi hii unless kama nawe ulikuwa kwenye kambi ya wale ambao waliivuruga NCCR!!

By the way, mimi tatizo langu ni mtu(Marando) na sio chama, so jifunze kutetea chama na sio watu! Watu hawa ni wapita njia tu lakini chama bado kitabaki pale pale...ikiwa hata Baba wa Taifa alipata kutamka kwamba CCM si baba wala mama ake, itakuwa Marando kwa CHADEMA?! Mkuu wangu vipi!

Gamba on duty.
 
Unavyo hangaika kama unataka kujifungua.....!!! Naona leo upo zamu, kazi mnayo, na mimi huwa naandika kila siku kuwa KUNA KITU KIKUBWA SANA MWIGULU NA NAPE WANAWAPA, KAMA HAWAWAGUSI, SIJUI NN KINGINE MNAPEWA. LAZIMA MTAKUWA MNALIWA 0713 siyo bure!!!!

Mkuu @Nswima ubarikiwe sana.You call spade the real name
 
mzee marando baba ya pale kwetu ujaruoni...hivi kwa nn huyu mzee asiende kumtoa lameck pale rorya?
 
Gamba on duty.
KWA WENYE AKILI, UNAJITIA AIBU.....Ngoja nikuambie kitu kimoja, CHADEMA lakini taasisi yoyote, watu wake sio malaika hivyo ni ujinga kujifanya you're everything!! Ni wapumbavu peke yake ambao wanaweza kununua ujinga huo!!
 
Wasting your time with foolish arguments all the time.
 
Afadhali kamanda umezungumza mapema kabisa kuwa wewe SHUSHU ILI TUTAKAPOONA VIJANA WETU NA WAANDISH WENZANGU WA HABARI HUKO PWANI WAKINGOLEWA CHUPA NA KUPIGWA NA VITU VIZITO TUJUE KABISA SHUSHU ON WORK
 
Take care mkuu wasikung'oe meno na kucha..nimependa uzinduzi wa leo wakati wao wanakodisha na kuonga,watu wahudhurie mikutano yao na kuwapa burudani na usafiri sio sera
..chadema watu tunatoa michango kama kiingilio katika uzinduzi..hakika tumekua kisiasa..viva my CHADEMA.
 
Wasting your time with foolish arguments all the time.
Especially when imposing those foolish arguments to foolish people! And only foolish people who'll always feel anger when s/he finds others do not believe what s/he does!
 
Makamu Mkiti wa Kanda ya Pwani wa Chadema Mabere Nyaucho Marando amesema kwamba ataisambaratisha CCM katika kanda hii.

Huku akishangiliwa kwa mayowe na wajumbe na viongozi wa kanda hii inayojumuisha Dar es Salaam na Pwani,Marando amesema yeye amesomea ushushushu na atatumia Taaluma yake hiyo kuhakikisha CCM itabaki historia katika kanda hii.

Marando amesema atafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha anadhibiti mbinu zote za CCM.Na atatembea kila kona ya kanda hii kuizika CCM.

Viongozi wengine wa Kanda hii ni Mkiti Professor Abdallah Safari na Katibu wa Kanda Halima Mdee.

Marando ameongeza kwamba anaongoza kanda kubwa yenye watu wengi ambao idadi yao ni kama nchi ya Rwanda au Shelisheli.Hivyo ameahidi utumishi uliotukuka.
Mkuu Molemo, asante kwa taarifa.
Kama hii ndio baadhi ya mikakati ya ushindi kwa Chadema, then safari ya ukombozi wa kweli bado ni ndefu!.

Ukiangalia ukanda wa Pwani, na maeneo mengi yenye stronghold ya CCM, ni maeneo yenye low literacy level na umasikini uliotopea!. Maeneo yenye upper hand kwa Chadema, ni maeneo yenye high literacy level na ehueni ya kiuchumi. Hivyo CCM ina capitalize on poverty na ignorance kushinda, ili Chadema ilete ukombozi wa kweli, hakuihitaji mbinu za kishushu bali kuwaelimisha watu hawa how CCM made them so poor na Chadema ireleze itafanya nini tofauti na CCM ili kuwakomboa masikini hawa kuondokana na lindi la umasikini, ujinga na maradhi!, kama Mabere Marando na Prof. Safari imewaona ndio wafaao katika jukumu hili!, just keep hopes for the best, but get prepared for the worst, 2015, maeneo hayo bado wataichagua tena CCM just kwa kupewa tena T-shirt na kofia na ile shibe ya pilau ya siku moja!.

All the best.

Paskal
 
Back
Top Bottom