Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 1,943
- 3,695
NITAIPATAJE HII SIMU YANGU,
Ni hivi wakuu,
Mwezi wa 12 mwaka 2016 nilinunua simu ya Samsung Galaxy S3 ikiwa used kutoka kwa rafiki. Sasa hii simu nimetumia kama week mbili tu mwezi wa kwanza ikawa imeibiwa hapa ninapoishi.
Basi nimekaa bila smart phone mpaka Leo ndo nimenunua nyingine cha ajabu nimeigiza Email naambiwa hii Email yangu bado iko active kwa ile simu iliyoibiwa.
Sasa naombeni msaada wa namna ya kumkamata mwizi wa simu yangu kupitia Email maana inaonyesha anatumia tu bila kubadili hiyo Email.