nitaipata wapi blog template kama hii!?????

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
habari zenu wakuu!! mimi nina blog yangu ambyo inahusu intertainment,lakini tatizo kubwa nimeshindwa au naweza sema sijapendezewa na zile templates ambazo blogspot wanzazo (pale katika design tempate layout) katika kuperuzi peruzi nimeiona hii template ambyo imetumika katika hii site RnBXclusive.com | Showcasing The Finest In Urban Music na nimeipenda sana.nitafanyaje kuweza kuipata au wapi naweza kudownload kama hiyo kwa wale watumiaji wa blogspot nadhani nitakuwa nimeeleweka!! thanx blog yangu kwa sasa ipo hivi

WAJANJA SITE
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom