Nitagombea uraisi mwaka 2015.

Nitagombea uraisi mwaka 2015.

Mujanjabi

Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
75
Reaction score
9
Kwa kweli uozo uliojaa ktk chama changu(ccm) mwaka 2015 nitatoka na kuwa mgombea binafsi.
 
ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina.....
 
ha ha ha.......yoi have my full support dude, lakini hebu mwaga basi sera zako kiongozi! Tupe na wasifu wako basi kiaina.....

Wasifu wake ni mpiganaji wa msituni.ndio maana kajificha.
 
Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle
 
Membe at work maana ndani ya ccm atachakachuliwa na lowassa will crown the tittle

Mbona hawa watu sarakasi zimeanza mapema sana? Hadi kufika katikati ya 2014 tutakuwa tumeona na kuskia mengi sana,. MWAKATA weya we HAZOLE!?
 
Akina mwigulu na lusinde usiwasahau ktk kampeni zako wanaweza kukupaisha wanaweza kuwa kampeni meneja wako wazuri tu
 
Back
Top Bottom