Kweli JK umetu-cost..
Dah! Urais=Urahisi. This must be a joke.
CHAWAPUTA? , Walah rasul hili ni bonge ya tusi!!!!!!!!!!!!kuna maraisi wa taasisi mbalimbali , labda hata anautaka uraisi wa CHAWAPUTA ..............TEH TEH
Ni haki yake kutangaza.Siku hizi hata wanywa gongo wanaweza kutangaza nia.Haya Twende...Wa pili huyo...Mwingine!....
Raisi wa Akudo Impact
Hivi hii dhana ya mtu akiongea anachofikiri, watu wanasema katumwa, inatokana na nini? kwani mtanzania hawezi kusema mpaka atumwe? Nasema tena NITAGOMBEA URAIS.
Mwalimu Nyerere ....... aliweza kuwaunganisha watanzania na kupata uhuru wa kisiasa. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ya kiuchumi.
Wakuu,
Sekunde chache zilizopita nimemsikia zito kwenye exclusive interview na Millard Ayo wa Clouds FM akitamka yafuatayo ..."Wazee wetu walitusaidia kutupatia maendeleo ya kisiasa, sasa ni jukumu letu kuleta maendeleo ya kiuchumi. Ila naomba nisisitize, jukumu hili haliwezi kutekelezwa na mtu yeyote aliyezaliwa kabla ya uhuru..".
Anyway ,ni mara yangu ya kwanza kumsikia huyu mtu,lakini ni haki yake na hongera yake kwa courage aliyonayo,hata hivyo aonyeshe uwezo wake kwa kuijenga CHADEMA Tanga iwe na mvuto na ushawishi,aanze kupanda majukwaani na kunadi chama chake na sera ili azoee angalau ifikapo 2015 awe amejulikana zaidi na aweze kuchaguliwa kupeperusha bendera ya chama chake