Baba Clara
Member
- May 10, 2011
- 94
- 27
Jk kafanya URAIS kuwa URAHISI..
Hv mtu uwezi kuchangia maendeleo/mabadiliko ya nchi hadi uwe Rais
Mwalimu Nyerere ....... aliweza kuwaunganisha watanzania na kupata uhuru wa kisiasa. Sasa ni wakati wa kufanya mageuzi ya kiuchumi.
Ukimsoma vizuri Bwana Deogratius KISANDU, hupati shida kuelewa kuwa, pamoja na kuwa ni haki ya kila mmoja Kikatiba kugombea Uongozi, lakini Kisandu katika hili hana tofauti na Nape Nnauye-Vuvuzela! Kisandu ni sawa na speaker inaakisi na kuvumisha sauti na maneno isiyoyaasisi (angalia maneno yenye rangi nyekundu na bluu utanielewa) Na hii ni mkakati mzuri wa kuyeyusha dhamira iliyomo ndani ya muasisi wa matangazo na matamko ya Urais, Ujana na Uraisi, Ujana na Ujenzi wa Uchumi, Uzee na Uhuru, n.k
Ina maana mkuu huyu bwana kuna mtu anamsemea?
Umeusoma vema mchezo. Kama ni somo umepata 100/100.... more to come so as to pre-empty ZZK
Mbeya wanasema rais wao ni sugu, kuna wanacdm wengine wanataka Lema agombee pia. Sasa kama watz wamefikia kuchagua hawa wawili basi hata mbuzi ana haki ya kugombea.ni haki yake huyu jamaa.