Nitafute...

Katika kuzunguka kwangu kute sijawahi kuona Dr/Mganga wa kienyeji anaitwa Massawe,Tarimo au Mushi ukiwataka hao uende Muhimbili na hospitali kubwa tuu,Inamaana hawapo au hawapendi kutumia majina yao ya ukoo?
 
nenda OLILI AU tarakea.kuna hadi kina manka
Katika kuzunguka kwangu kute sijawahi kuona Dr/Mganga wa kienyeji anaitwa Massawe,Tarimo au Mushi ukiwataka hao uende Muhimbili na hospitali kubwa tuu,Inamaana hawapo au hawapendi kutumia majina yao ya ukoo?
 
tunakutengenezea njia ya kuwa tajiri na kuingia katika kundi la waashi huru,freemason.karibu sanaa kwetu mteja ni mfalume
Kwani ndo anatibu vipi kujiunga au anamaanisha ana fomu za kujiunga?
 
hivi hamna anaetaka dawa ya mapenzi au kuongeza nguvu za kiume huku au ndo wote hamna matatizo kwenye mapenzi[je wadada,wote nikwamba hamna migogoro kwenye ndoa zenu,ramli inanionyesha wengi hawana furaha kwenye ndoa nioneni jamani,ndani ya siku 4 kama mmeo ameondoka jumbani anarudi mwenyewe]na nyie wababa hamna matatizo ya nguvu za kiume mnataka kusema mko fiti fitiki,haya bana
 
Ujue kuna njia nyingi Sana za kupata kipato cha halali tofauti na huu utapeli unaoufanya!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom