05CUBA
JF-Expert Member
- Apr 12, 2025
- 1,106
- 1,643
Salaam??
Code o5 ,
Jamani chakula cha hapa duniani ni kitamu sana. .....
Mda flan walimgomea injinia asile ugali wakampa chakula kingine.
Yani japo yawezekana waliona chakula kingine ndo kitam kuliko ugali ila mimi naona injinia walimkatili kwakumzuia kula ugali...
Sasa leo natamani sana by anymeans bitukinao nae agome kula ugali au wamkataze pia...
Tukiwa kwenye kampeni kuna Lori pia limewamwaga jamaa wa mbogamboga Sema hakuna alogoma kula ugali. (Mimi nilitamani wote wangegoma.kulq ugali baada ya kuumia pale Maan sio salama kwa mgonjwa alopata ujali ya vile akaendelea kul ugali badala ya chakula kizuri )