Nitafunguaje internet kwenye smartphone ili ianze rasmi?

Joined
May 9, 2014
Posts
57
Reaction score
46
jamani nashindwa kufungua internet yaani kuiweka simu tayari kwa data zianze kutumika mambo ya wi-fi naona yananizingua siyasomi!
 
kwani hapo ulipo kuna wifi?au unatumia 3G?
 
jamani nashindwa kufungua internet yaani kuiweka simu tayari kwa data zianze kutumika mambo ya wi-fi naona yananizingua siyasomi!
SASA hii post umepost vipi bila kuwa na connection?hebu uliza kwa ufasaha swali lako
 
Back
Top Bottom