The media is too bias to the ruling party, habari kutoka magazetini wanakuwa na magazeti mengi , kuanza kusoma lazima waanze na habari leo then uhuru, aliyesoma habari za vichwa vya magazeti leo ni aibu tupu.
Unajua unaposoma vichwa vya magazeti ni kuwahabarisha watu wajue yaliyomo katika magazeti ya siku husika sasa inapotokea kupotosha hapo sijui taaluma ya waandishi wa habari ndivyo ilivyo au ni kupotosha maksudi.
Leo nimemfuatilia kwa karibu mchambuzi wa magazeti , amesoma jinsi mh. mkulo alivyomjibu mh. zitto kuhusiana na suala la posho za vikao, habari iliyokuwa kwenye gazeti la uhuru na habari leo mahudhui yake yalikuwa yanafanana lakini si sawa na ilivyokuwa kwenye gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima.
Mchambuzi amenisikitisha sana ilipofika zamu ya kuchambua yaliyojiri kwenye gazeti la Mwananchi na Tanzania Daima akasema ni yaleyale tuliokwisha kusoma katika magazeti yaliyotangulia, this is no fair, you are praying a dirt game, lindeni sana taaluma yenu kuliko ushabiki, mnaogopa kufukuzwa mbona kazi zipo nyingi mahali kwingine?