Nitabaki salama kweli?

we muongo sana mkuu, miezi mitatu ndo unapiga? yaani wewe kama ni chaputa ni chaputa tu, sidhani hata unamalizaga wiki hujajilipua
Siwezi kudanganya kabisa.
ni mara moja kwa miezi mitatu na hata hivyo naweza nisifanye kabisa kwa muda huo
 
Acha huo mchezo kijana. Utaumia na kulia pekee siku zijazo mbeleni.

Huu mchezo ukishauzoea ni utaendelea nao tu. Tena kila siku.
hata hivyo sijua kama nipo salama hadi sasa,
 
Jaribu kupiga mara nne kwa week itapendeza zaidi!
 
endelea kaka ila usibadili ratiba miez mitatu ukarudisha kila baada wiki3 na Mara kila baada cku3...utashindwa kugegeda vzr
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…