mr man city
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 467
- 319
Bureau Change zote sijaona currency ya Korea. Je ni wapi naweza kubadilisha hizi fedha?
Hiyo labda bot ila ni sawa na elfu ishirini tu za bongo..Bureau Change zote sijaona currency ya Korea. Je ni wapi naweza kubadilisha hizi fedha?
Há kumbe Korea hela yao ni ndogo hivyo ?Samehe tu.ni Sawa Na rand 126.hela ndogo sana
Si haba mkuu. Pale huwa nabadili noti zilizochakaa au kukatikaHiyo labda bot ila ni sawa na elfu ishirini tu za bongo..
Kwangu inaweinaweza kuwa si ndogo mkuuSamehe tu.ni Sawa Na rand 126.hela ndogo sana