Nitaambiwa nachochea chuki, jioneeni hapa👇

Mie siwakubali hao jamaa zako tangu kombe la dunia yule beki wa MORROCCO alposema ushindi wao ulkuwa wa waarabu tu na wala sio Africa 🤫 yaan wao ni bara la Africa na wakatunyanyapaa kweli, yn tangia hyo kauli mm wala sina hamu nao I HATE THEM BITTERLY.

Sawaa, ukiwachukia utawapunguzia nini! Mimi naipenda timu ya morocco na ni shabiki wa timu hiyo, siku wamekutana na Portugal nilikua upande wao, siku wanacheza na ufaransa adui wakubwa wa uislamu pia niliishabikia MOROCCO, so hata kama waliongea au hawakuongea haiondoi mimi kutoshabikia THE ATLAS, timu bora Afrika
 
Wavaa Kubazi sio kbs, jaribu kuangalia hata mikoa walio kaa hii jamii ya waarabu, km Tabora, Lindi >>Kilwa na Mikindani ya pale Mtwara, kwa Kigoma haswa Ujiji pale na Pwani ya Bagamoyo, yaani hakuna maendeleo kbs ni umwinyi na uchawi kwasana, Uswahili mwingii lkn mzungu japo nae ana tabia zake ila alipo kaa ujue kuna maendeleo kbs mpaka elimu ametoa na kilimo kinakua cha mifumo mizuri, lkn hawa wavaa Kubazi no maendeleo no Elimu

Dar pia wamekaa waarabu, Zanzibar wamekaa waarabu, vipi na huko ni masikini? Acha ubaguzi/ubaguzi wa kidini, watu kama wewe hamustahili kufanya kazi serikalini
 
Kwa sisi watanzania tunawachukia waarabu kwa sababu ya historia tuliyofundishwa mashuleni,ile biashara ya utumwa ile,haswa kile kipengele kinachosema babu zetu walitobolewa juu ya unyayo na kupitishwa minyororo huku wakiwa wameongozana mstari,historia hiyo chungu kwa mtanzania huwezi kuifuta kwa kutajataja dini hapa,dini siyo justification ya kufunika maovu yaliyokwisha tendewa babu zetu wakiafrika.
Mtu akitobolewa juu ya unyayo na kufungwa mnyororo anaweza tembea!?
Ma wewe ndo nyani wazamani mliobadilika kuwa binadamu!?
 
Waarabu waliwauza baba zako Kama nyanya, akawaua, akawatesa na kuwafanyia Kila Aina ya dhihaka bado mkuu unawatetea ?
 
Assalaam alaykum warahmatullah

Mada inahusu chuki, wivu, ubaguzi na roho mbaya kwa jamii ya waarabu....Nchi nyingi duniani especially sio za kiislamu, wengi wao hawawapendi waarabu na uislamu kwa ujumla, ukija kwenye maisha ya kawaida mwarabu anaonekana kuchukiwa sana, ukija kwenye suala la soka/mpira wa miguu bado mwarabu anachukiwa na kupelekewa kutukanwa. Binafsi sioni sababu ya yeye kuchukiwa, sioni kosa la waarabu, binafsi bado sijaona duniani kote jamii iliyostaarabika kama waarabu/waislamu, tembea duniani kote huwezi ukakuta watu wakarimu na wana imani kubwa kama waarabu, nawapa 💯. Kwanza ukimchukia na kumsema vibaya mwarabu najisikia vibaya, maana hata Mtume wetu Muhammad S.A.W alikua mwarabu, so nachukia sana hilo.

Nadhani wengi wetu tumeshuhudia mashindano yaliyopita ya AFL, kati ya Clubs za Afrika ya kaskazini na za upande mwingine, mnajionea kwa kile kinachoendelea dhidi ya nchi za kiislamu. Asilimia kubwa ya waafrika, especially wasio waislamu most of them wapo upande wa timu za kiafrika/weusi, sijalizimisha mtu ushabikie timu flani naomba nisieleweke vibaya, lakini unashabikia na kutoshabikia timu flani kwa lengo lipi!! Nachokiona mimi si kingine, ni rangi/race/mwarabu, huu ni ubaguzi wa wazi, na kila mara nakemea suala hili lakini naonekana mpumbavu, yani kuna watu tayari chuki zimo ndani ya nyoyo zao, na ni ngumu sana kumbadilisha mtu huyu, Allah atawaongoza watu hawa.

Lakini kwanini unamchukia mwarabu kiasi hicho! Nini haswaa amekukosea mpaka umchukie! Najionea katika mashindano mbali mbali duniani, yani mtu mweusi anadiriki kushabikia ufaransa, portugal n.k na kuipiga teke Morocco 🇲🇦 kweli!! 😁 nadhani hata wazungu walishangaa sana kuona hii kitu

Haya sasa, ukija kwenye timu zetu, jana umepigwa mpira kati ya Mamelodi na Wydad Casablanca, yani hapo ndio utajionea watu walivyo na chuki na ubaguzi wa kidini+ubaguzi kwa waarabu, sipati picha mamelodi angecheza na timu za wazungu kama, Man U, Chelsea au Arsenal hapo tutaona ubaguzi kweli!!! kila mtu ataegemea upande wake bila kuingiza chuki, ubaguzi wa kidini na ubaguzi wa rangi sio!!!!. Ila mara nyingi tunaliona kwa hao ndugu zetu wana kaskazini n.k.

Hizi ni baadhi ya comments za wadau nimescreen short mjionee wenyewe kwakweli inasikitisha sana, Allah atawaongoza, cha kushangaza hata baadhi ya waislamu wapo kwenye njia hiyo hiyo, so binafsi nawaona ni waislamu jina tu.

👇
Semi final, mamelodi and al ahly
First final, Wydad and Mamelodi

View attachment 2812952View attachment 2812953View attachment 2812954View attachment 2812958

Second final, Mamelodi and Wydad
View attachment 2812942View attachment 2812943View attachment 2812944View attachment 2812945View attachment 2812946View attachment 2812947View attachment 2812948View attachment 2812949

👆inasikitisha sana, ni chuki iliyoje!

Ni baadhi ya comments hizo

Haya wale wadini na wabaguzi+chuki, hiyo inawahusu. Badilikeni, aleyommba gekke bhabhaa badilikeni.

Not Racism

Bhujiku ng'waka!
Nimemaliza
Acha ujinga na kujikomba kwa Waarabu! Unakumbuka wakati wa world cup kule Qatar Wamorocco walisema wao sio Waafrika!

Waache wakafie mbele!
 
Hakuna jamii isiyo na ubaguzi, ila tunazidiana,, waarabu asilimia kubwa wako vizuri, sema hujaishi nchi zao, wabantu asilimia kubwa wana chuki kwa waarabu, ukitaka kuyajua hayo siku wanakutana timu za kaskazini na weusi utajionea, sio kwamba hulijui basi ni kujitoa ufahamu, so ni wale wale tu.

Badilika, acha chuki, roho mbaya, wivu n.k
Mkuu,
Hukusikia kuhusu yule muarabu aliyejisaidia haja kubwa ndani ya mdomo wa mdada wa Kiafrika huko uarabuni? Ukiacha waarabu, sidhani kama kuna binadamu mwingine anaweza kufanya hivyo.

Kwa ubaguzi, ukatili, unyama na uonevu waarabu ni namba moja📌
 
Back
Top Bottom