Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu.Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!!
Kwani kuna ubaya gani akifahamika?Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu.
Usitishe watu bana nini mbaya kuweka hiyo pichaKaribu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu.
Nipo Jirani na hapo na huenda nikaja mwaka huu niongeze ujuzi zaidi msalimie Prof MganilwaWale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!!
Kwani kuna ubaya ukimfahamu?Karibu sana JF ndugu. Nakushauri toa hiyo picha. kwa hiyo picha na username yako nshakufahamu.
Sijamtisha, bali nimempa ushauri. Ni new member na namfahamu. Kwa sababu ya uhuru wake baadae humu JF ndio maana nimemshauri hivyo kabla wengine ambao wanamfahamu hamjambua pia.Usitishe watu bana nini mbaya kuweka hiyo picha
Kwani kuna ubaya gani na wewe ukitumia jina lako halisi na kubadili hiyo Avatar kwa kuweka picha yako halisi ?Kwani kuna ubaya gani akifahamika?
Hakuna ubaya. Labda kwa nini wewe haukutumia jina lako halisi na kuweka Avatar ambayo ni picha yako ?Kwani kuna ubaya ukimfahamu?
So much is at stake! Mimi nina madhambi mengi. Nikitumia real name, it will be a dissaster!Kwani kuna ubaya gani na wewe ukitumia jina lako halisi na kubadili hiyo Avatar kwa kuweka picha yako halisi ?
Ndo maana nikamshauri huyu ndugu yangu atoe hiyo picha ili aendelee kifurahia uhuru humu jukwaani kama tunavyofanya wengine.So much is at stake! Mimi nina madhambi mengi. Nikitumia real name, it will be a dissaster!
Safi sana ndugu Is........ kwa kufuata ushauri.Wale tulioapply NIT tujuane kabisaa..!!!!