Nissan xtrail sport for sale

Nissan xtrail sport for sale

IMAG0892.jpg duuuh ndugu yangu hongera ila hili langu pia nauza kama lilivyo ni body tu ilioumia
 
wewe mngila ni kiboko, duh yaani una comment kama ndiye muuzaji.
ila big up kwa kumpa bei maana alikuwa hajaiona.
kaka mimi mbna bei nimeona si ni 17.5m ila io lak tano inaeza ikapunguzwa
 
Ahsante Amoeba kwa kumjibu vizuri, watu kama nyie mnahitajika sana ktk jamii husika.
Inshort watu siku hizi wanakwenda kusoma driving sio kupata experience bali ni kupata leseni hata kwa kununua bila kufanya mitihani yake na hasa kw a dada zetu wengi hata kama wakisoma driving bado huwa wanasumbuka sana na Manual sembuse na gari kubwa kama hili. kupishana tu barabarani kunamsumbua sababu ya barabara ndogondogo sana za Arusha.
Naona umeanza kuzeeka mkuu,
jamaa kasema ANAYEITUMIA anaona TAABU KUENDESHA manual!!.. Huenda labda
ni mwanamke, wanawake wengi hawapendi manual!
 
je naweza kupata more details za hiyo gari yako? reg number gani? odometer na apperance yake kwa ujumla?
Mi ninayo kama hiyo lkn
automatic transimission. Unaonaje tubadilishane. Sifa za gari lako na la
kwangu ni sawa labda hiyo gearbox. Unaonaje?
 
Ninayo the same model same year but different colour.rangi yake ni pearlblue. Imesajiliwa wiki mbili zilizopita reg T 666 CEJ nauza 19million. Sababu ndio biashara nafanya ya kununua na kuuza anayeihitaji awasiline nami.perfomance yake ni excellent utahitaji kubadili tairi tu. Vingine vyote vipo katika hali nzuri
 
Back
Top Bottom