Habari
Nauza gari Nissan extrail for repair or spare.
Ilipata ajali ikagongwa mbele. Inahitaji nose cut complete. 2004
Tuwasiliane kwa namba 0713750760 bei 3,800,000 gari iko Dar Goba. Engine haina shida kabisa
Nissan xtrail for sale
2004 kwa ajili ya repair or spare. Engine iko sawa kabisa. Gari inahitaji nose cut complete. Ilipata ajali ikaumia mbele. Gari iko Dar Goba
Karibuni bei ni 3.8m napatikana kwa namba 0713750760