Nissan X Trail aka Kimeo

tanzania asilimia kubwa ya mafundi wa nisani hawapo sawa na mafundi simu wa kariakoo na mikoani.

nisani inamfumo mwingi wa umeme na teknolojia ambayo ni ngeni kwa mafundi na hawa taki kusema ukweli ndio maana mafundi wanasingizia ni kimeo.

jiulize kwa nini range inamafundi wa kuhesabu na sio wakuokota kama toyota
Range rover majanga
 
Utakuta mtu mwenyewe hata toroli huna!

Ikiwa hana hata toroli kuna tatizo gani??
Anaweza akawa ni fundi, ila anaweza akawa ana ujuzi pia kwa namna nyingine kama vile dereva, n.k Ujuzi wake ndo muhimu hapa kwenye kutoa ushauri, na muhimu asiwe anaongea kwa kusikia tu bila hoja
 
Back
Top Bottom