Nissan wingroad 2003 user manual/service manual

Nissan wingroad 2003 user manual/service manual

James Kasonda

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
84
Reaction score
49
Anayefahamu tovuti ambayo naweza kupata user manual ya gari ya Nissan Wingroad 2003 iliyo katika lugha ya kiingereza
naomba anifahamishe. Hawa jamaa sijui kwa nini wanaandika user manual zilizo katika kijapani tu!!
 
Kuna njia mbili moja tumia hiyo chasis namba ya hiyo gari ukijua kuitumia vizuri itakupa details zote za hiyo gari ikiwemo na manual user..itakupa details ata kama gari hiyo iliwahi pata accident au kuibiwa nk,natumia nafasi hii kwa kuwataharifu watu wengi wanaoagiza magari utawasikia wanaomba picha,ni kweli picha ni muhimu lakini kwanza ulizia chasis number ndio itakayokupa details zote za gari yako,ata unapokwenda kwa mwuza spares mzuri atakuuliza chasis number kwanza na si vinginevyo,wauza magari wengi showroom na wauza spares wana program ktk comp zao ambazo zinawapa details kama nilivyosema,pili wawezakui google kwa kutumia namba tano za kwanza za chasis namba yako...+971504374387 dubai
 
Back
Top Bottom