gambakhuffu
JF-Expert Member
- Jul 2, 2010
- 509
- 547
Wadau naomba ushauri ipi gari nzuri kununua kati ya nissan primera na toyota cresta gx100, nimekuwa napita mitandao mbalimbali ya wauza magari na kuangalia specifications za kila gari ila nimetokea kuvutiwa na gari izo mbili.
Kama ma great thinkers naomba ushauri wenu tafadhali cz nimechoka kuendesha TZ eleven
Nawasilisha
Kama ma great thinkers naomba ushauri wenu tafadhali cz nimechoka kuendesha TZ eleven
Nawasilisha