Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
gari ni manual, ipo darmanua au auto?? ipo wapi kwasasa
Du, em 17 unusu paref mazee, ila wapo watakao changamkia, heb 2angalizie yale ya bei zetu.
huku UK gari kama hii utaipata kwa pound 1500Kwa specifications na uimara wa hii gari aswell as its fuel consumption hii bei ipo reasonable kabisa. Vipi kwani wewe ulikuwa na Tsh ngapi?!
Soko huria hili mkuu.huku UK gari kama hii utaipata kwa pound 1500
huku UK gari kama hii utaipata kwa pound 1500
We acha tu dada yangu,
Eti ni rahisi kununua nyumba huko kuliko kununua hapa bongo,
Wahuni sana hawa madalali + wenye mali
Tupe CIF price yake acha uchizi halafu nikupe tax yake inakuaje.huku UK gari kama hii utaipata kwa pound 1500