habar... ninauza Nissan patrol yangu kwa bei rahisi sana. Lakin pia kama una gari ndogo ambayo uko kwenye hali nzur tunaweza kuelewana tu. Gari ina tatizo kidogo kwenye bodi so inahitaji repairs na ndio maana nimeipunguza bei
model ni ya 1992
manual gear
4wd
km 155000
milango mitano
BEI ni MIL 7
kwa maongezi ama picha njoo 0685369349
model ni ya 1992
manual gear
4wd
km 155000
milango mitano
BEI ni MIL 7
kwa maongezi ama picha njoo 0685369349