Nauza Nissan Patrol MIL 5.5

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
310
225
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel engine. Niko tayari kuuza ama kufanya exchange na gari ndogo.Kwa picha na maongezi njoo tuzungumze 0763969066
Gari iko dar kigamboni
 
Morinyo

JF-Expert Member
Aug 26, 2011
2,782
2,000
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel engine. Niko tayari kuuza ama kufanya exchange na gari ndogo.Kwa picha na maongezi njoo tuzungumze 0763969066
Tangazo lako halijakamilika, jitahidi uweke picha za gari ili mteja avutiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nywilla

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
379
500
Body ya gari imechoka Kidogo sababu ya kupaki kwa muda mwingi kuliko kutumika....ila engine yake ni Kama mpya kabisa (iko bomba Sana).Gari ni ya milango Mitano,manual,six cylinder TD42 diesel engine. Niko tayari kuuza ama kufanya exchange na gari ndogo.Kwa picha na maongezi njoo tuzungumze 0763969066
Naona dinga lako liko bomba kwa picha muonekano wake na namba D naona umejitahidi kuosha vizuri nmeipenda sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom