Mkuu hatuzungumzii mwendo tunazungumzia uwezo wa kupita sehemu ngumu hasa kipindi cha mvua, uwezo wa kujikwamua pindi linapokwama, kutokuharibika hovyo wakati wa matumizi kwa hizo sehemu mbovu, mwendo kusema ukweli haya kimbii sana nakubaliana na wewe.
Napenda gari za Nissan zenye engine ya Diesel. Injini ina mungurumo mzito hadi raha. Ila haifai kwenda kuchukulia mtoto wa geti. Maana ukifika mahali, kila mtu anajua. Napenda zaidi injini za Nissan Civilian. Zile injini zina mungurumo mtamu balaa!

Mi nilikua nayachukulia poa sana haya madude kuna moja lilikua la NGo flani walitaka kuniuzia kwa milioni 17 nikachomoa yalikua haya new model kama ya usalama nikajua litanizingua manake safari zangu za mbwinde huwa nataka gari ya kazi