and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Wakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
Chukua chapWakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
Ya 2014Kama unaimudu chukua ina share vitu vingi (karibu vyote) na Navara. Hope unayochukua ni ya 2005 hadi 2010 hizo ndio nimeziona. Kuna coworker anayo, unyama sana.
ZipoWakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?
4th gen iyo. Haina mbaya ishi nayo kali.Ya 2014
Asante sanaGari Kali
Spare Spare spare... Haitaki feki haitaki modification utajutaWakuu Naja Kwa UNYENYEKEVU mkubwa kutaka kujua undani wa Nissan pathfinder nimeiona kwenye mnada nataka niichukue vipi spea bongo?