Nissan Navara for sale

Nissan Navara for sale

Yawilla13

Member
Joined
Nov 7, 2013
Posts
66
Reaction score
18
Nauza nissani navara bei mil 19. Please nipgie 0688799112.
1471459179055.jpg
1471459189264.jpg
 
Inaonekana bado unalipenda gari lako maana uzi unaonyesha hauna mpango wa kuliuza,specification hakuna basi hata tupicha twa-ndani angalau mweeee.
 
Navara za mwanzo zimefanana NA hardbody. Gari iko vizuri, specs for more info pse.
 
Hizi gari za ulaya zinaitwa Navara, Marekani zinaitwa Frontier na za South zinaitwa Hardbody.. But zote ni kitu kimoja by appearance... Ni gari nzuri sana kuwa nayo...
 
Hizi gari za ulaya zinaitwa Navara, Marekani zinaitwa Frontier na za South zinaitwa Hardbody.. But zote ni kitu kimoja by appearance... Ni gari nzuri sana kuwa nayo...
Sio kweli mkuu ulichoongea South Africa ipo hiyo Hard body na Navara pia, Hard body ni toleo la nyuma ya Navara Mkuu...
 
Sio kweli mkuu ulichoongea South Africa ipo hiyo Hard body na Navara pia, Hard body ni toleo la nyuma ya Navara Mkuu...
Mkuu unachosema ni kweli.. Navara ni jina ambalo limetumika kwa model mpya ambazo zipo pote duniani including na South.. Lakini pia jina hilo lilipata kutumika kwenye model ya zamani toleo la ulaya kama ambayo inauzwa na mleta mada.. So wote hapa tuko sahihi ila mimi na wewe tulipishana kwenye model.. Wewe umejikita zaidi kwenye Navara model mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom