Nissan Navara D 22 pick up double cabin inauzwa

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Ni nzima inatembea na haina matatizo yoyote. Gari ipo Dar.
Ni manual ,Imekua chini ya uangalifu wa DT DOBIE Kwa Muda wote
BEI 18.500,000/= GARI IPO DAR. Unakarishwa kuikagua njoo na fundi
Unaemuamini.

Kwa Mawasiliano 0765260673,0713760473.
0785614960
 
OK,
Weka picha kwa mbele na nyuma kukata mzizi wa fitina
 
Kwa uzoefu wangu wa kujua magari katika different angles hiyo ni Nissan Hardbody na siyo Navara,unless kama wana edition walizozitoa ambazo siyo common.
 
Nadhani nyie ni wapiga kelele tu,wenye kujua magari na wanaohitaji wameshatutufuta,nyie endeleeni kupiga mayowe apo .....nbvfgdfddg nyie!!
 
we hata baiskeli huna utaweza kujua bei ya hii gari??

nenda jikoni uko kamsaidia mama ako kupika acha wanaume waongee

mbona lugha chafu tena wakati wadau wanahitaji ufafanuzi ... wanaouliza kutafuta ufafanuzi ni kweli hawana uhakika na wanauliza tu.. huu nimjadala na hapa jf ni sehemu ya kuelimishana .... sas nashangaa muuzaji unashindwa kutumia marketing language instead unaingia kwenye tag of war with prospecting customers

hii ni fedheha sana

kutokuwa na gari haina maana kutokujua magari ... machanics wangapi hawana hata baiskeli lakini ndiyo wanaotengeneza magari ... be wise
 
Nadhani nyie ni wapiga kelele tu,wenye kujua magari na wanaohitaji wameshatutufuta,nyie endeleeni kupiga mayowe apo .....nbvfgdfddg nyie!!
Watanzania tuna shida sana.
biashara ya kwako, unaulizwa maswali unawatukana watu............hata kama wewe ni dalali, still, maneno ya hovyohovyo kwenye biashara yanakufanya uonekane wewe ndo mbumbumbu sana, tena sana.

Unapowaambia watu warudi jikoni wakapike, au hawana hata baiskeli, unataka kutuambia nini?!! au kutoka UK na hiyo gari ndo umeona wewe ni wa maana saaaana!!!

bull shiit!!!!!

Kama hujui ni kwa nini watu walikuwa wanasisitiza hiyo ni Hard body sio Navara ni afadhali ukanyamaza, sio kufikiri hawajui, kuwaona watu ni wapumbavu bila kufahamu wanamaanisha nini ndo upumbavu wenyewe.
:doh::doh:
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Ni nzima inatembea na haina matatizo yoyote. Gari ipo Dar.
Ni manual ,Imekua chini ya uangalifu wa DT DOBIE Kwa Muda wote
BEI 18.500,000/= GARI IPO DAR. Unakarishwa kuikagua njoo na fundi
Unaemuamini.

Kwa Mawasiliano 0765260673,0713760473.
0785614960

Hii sio Nissan Navara mkuu
 
Hii sio Nissan Navara mkuu
Atakutukana huyo....ana matusi huyo.......balaaaa!!

anashindwa kutoa maelezo ya tofauti ya Nissan Navara na Hard body, tofauti ya production line na majina kati ya UK na SA.
mwache aendelee kutuona sisi mazuzu hatuwezi kununua hata baiskeli!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom