Nissan Navara D 22 pick up double cabin inauzwa

Atakutukana huyo....ana matusi huyo.......balaaaa!!

anashindwa kutoa maelezo ya tofauti ya Nissan Navara na Hard body, tofauti ya production line na majina kati ya UK na SA.
mwache aendelee kutuona sisi mazuzu hatuwezi kununua hata baiskeli!!!

yaani katuona sisi ni malofa ... teh teh teh
 
Ningekuwa mimi ndo muuzaji ningejiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwa nn watu wote wanakataa hii model ya gar yangu! ( napiga picha kwa mbele nawawekea)
2. Kwa nini niwatukane potential customers( najaribu kuwalainisha kuwa kuna model za zaman na za kisasa, yangu ni model ya zaman kabisa kabla hamjazaliwa!!!)
3. kotokuwa na gari ndo kutokujua aina za magari?
4.kuna watu nawafahamu wenye magari hajui hata model ya gar yake utasikia tu "mi gar yangu toyota"

ushauri wa bure huku kuna watu tofauti wenye busara na wasio na busara kama ww, jitahid kuwa na ustaarabu hata wa kinafki tu unatosha.
 
tunabishana wakati hakuna hata mmoja ananunua hiyo gari ok mimi sijui niaina gani.
 
Hi,

Jamani hii ni Nissan Navara D22.

Google utaiona, hata card ya gari nimeiona nahisi itakuwa imelipiwa Jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom