Nissan Murano

Nissan Murano

Juma salehe

Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
40
Reaction score
16
Nimepata mteja anahitaji nimuagizie hiyo gari, wanao hifaham vizur wanijuze kuhusu ulaji wa mafuta na spare parts availability!!
 
Nimepata mteja anahitaji nimuagizie hiyo gari, wanao hifaham vizur wanijuze kuhusu ulaji wa mafuta na spare parts availability!!

v6 hizo mafuta lazima ile kingine mtu yoyote anayefikiria nunua murano sjui kama wanafikiria suala la mafuta, spea, zake ziko juu pia
 
MKUU Nissan Nissan tuu spare zake kibongo bongo zipo kibao tuu nakama mkwanja upo haina shida unaweza spare ukaagiza Nairobi/Kenya maaana we zetu na Nissan dam dam
 
sasa wewe mtu amekuambia umuagizie, wewe unataka kujua ulaji mafuta na spare parts availability, we vinakuhusu nn?

Ameniuliza Hilo swali nimeshindwa kumpa jibu, Is it a female car??
 
Back
Top Bottom