Nissan & Mitsubish

Valuer Mollel

Member
Aug 4, 2019
5
1
Wakuu Kwema?
Hope mnaendelea Poa Na Majukumu Ya Kila Siku. Nataka Kununua Gari, but nataka Kujua Kati ya haya magari ipi Iko vizuri katika ulaji wa mafuta, Durability ukizingatia barabara zetu za Vumbi, rough road, comfortability, stability on high way, flexibility, availability of spares, functionality etc etc. Magari hayo :- Nissan Xtrail 2008, Nissan Dualis 2008 na Mitsubish Outlander 2006.
Please Naombeni Msaada Wenu Wakuu.
 
Hii gari Mitsubishi outlander ,huku JF hakuna aliewai kuitumia?
Mkuu naona unaiulizia sana hii gari kibongo bongo ukiweza nunua gari ya 15m ukiwa na uhakika wa kuweka wese la 35,000-50,000 hio gari utaiweza na kama utazingatia service yake hio gari huwezi pata shida...
 
Back
Top Bottom