Little Dreamer
Senior Member
- Sep 12, 2017
- 180
- 162
Gari ipo Arusha
Haina tatizo lolote, kila kitu ni kizima
Bei 15M
Mawasiliano: 0621846107
Haina tatizo lolote, kila kitu ni kizima
Bei 15M
Mawasiliano: 0621846107
Hatutakuja kuichukua tunakuachia mazima😄Mkiniuzia hamtakuja tena kuichukua usiku kiongozi!?
Injini inachafuka anytime coz gari inatumika, but kuosha injini na gari kuwa nzima havina uhusianoM15 na kupiga maji engine ni elf5 tu, au ya urithi