Nissan caravan qd lipo sokoni inazunguusha arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nissan caravan qd lipo sokoni inazunguusha arusha

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kilimasera, Feb 21, 2012.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  NINAUZA HIACE NISSAN QD CARAVAN KWA YEYOTE ANAYEHITAJI INA MWAKA MMOJA TU TOKA NIIAGIZE JAPAN BEI YAKE INAANZA NA M 13 MAELEWANO YAPO.KWA WALE WA ARUSHA INAPIGA TRIP ZA KWANGULELO NA TOWN KWA MBELE LIMEANDIKWA POWER OF GOD NA NYUMA LIMEANDIKWA SILVER....

  Mawasiliano ni PM then nitakupa namba za CM
   

  Attached Files:

 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Weka bei hazarani jomba.
   
 3. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nimeweka mkuu inaanza na M 13 ila kuna maelewazo KAKA

   
Loading...