Nissa Navara Modell 2003-2008, inameguka katikati!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kama wewe ni mmiliki wa Nissan Navara modeli ya (2003-2008) kuwa mwangalifu nayo sana, watumiaji wa gari hiyo huko Ulaya wanasema ina matatizo ya kukatika katikati (pichani chini)!
Hivyo kama wewe ni mmiliki usijaze sana mzigo kwani huenda ikakumegukia!

navara_1486466421587431.jpg


Nissan is urged to recall its popular 4X4 Navaras | Daily Mail Online
 
Usiogope ikikatika njoo pm nikukaribishe Gereji utengenezewe OK mkuu
 
inabidi ku modify kama wafanyavyo Fuso na canter kuweka mbao za mninga ili kudhibiti hiyo hali isitokee...!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom