Je, bachelor of laboratory and science technology ni nzuri?

Blessin Range

New Member
Aug 7, 2022
1
1
Nahitaji msaada, eti kozi za "bachelor of laboratory and science technology" na "clinical food" (at MUST) katika nyanja hii.

- ianahusiana na Nini
-Soko lake la ajira
- namna ya kujiajiri
 
Kozi yoyote ambayo inakupa ujuzi ni nzuri make sure tu GPA unaanzia 3.6 kupanda juu
 
Kama huna connection kozi zingine ni bora ukachana nazo hata ukasome Nursing & MD, Ndo utawahi kupata kazi.

Ila kazi pia ni bahati ya mtu yaweza kuwa ni unabahati na hiyo kozi, kasome tu
 
Nahitaji msaada, eti kozi za "bachelor of laboratory and science technology" na "clinical food" (at MUST) katika nyanja hii.

- ianahusiana na Nini
-Soko lake la ajira
- namna ya kujiajiri

Usisome.... hiyo kozi inahusiana zaid na viwanda na kama unavyojua nchi yetu bado sana kwenye viwanda... ushauri wangu Soma Pharmacy,radiography,physiotherapy,nursing au kozi yoyote ya afya!
 
Back
Top Bottom