Nisisikie/nisione mwanachuo akilalamika hajapata mkopo

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Tuliahidiwa elimu buree tangu chekechea hadi chuo kikuu.

Mkasema oooh hafai.

Mnataka kuendelea kukopeshwa.

Sasa sitaki tena malalamiko yenu humu mkopo ukiombwa sii lazima mpewe mda mnaotaka.

Hapa kazi tuuu
 
huelewi unachokisema bado Tanzania tunahitaji

1.Elimu
2.Elimu
3.Elimu
 
Nashangaa kuona wanalalamika na kuandamana kudai BooM wakati walipoporwa haki yao ya kuchagua viongozi walilala tu nyumbani.
 
usiandike vitu kishabiki hata huyo mliyetaka aingie asingefanya kitu badala yake angekuja na visingizio kibao wakati muda huo huo anafanya dili kama kawaida yake kurudisha gharama za uchaguzi mpeni muda muone mavitu ya magufuli
 
hakuna lolote kwa makufuli akiweza kubadili na ile mikataba feki inayotupa dhiki ya milele kwa raslimali zetu ndipo nitamuamin
 
Back
Top Bottom