ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 151
dah pole mi watu hunilaumu sana kwamba nawapotezea
Usije kuta wewe ndiye unalalamikiwa na mtoa mada!!! Ila kwa mtazamo wangu ni dharau na si kitu kizuri, kama huwez jibu sema kama huwez zima simu!!!
dah pole mi watu hunilaumu sana kwamba nawapotezea
Usije kuta wewe ndiye unalalamikiwa na mtoa mada!!! Ila kwa mtazamo wangu ni dharau na si kitu kizuri, kama huwez jibu sema kama huwez zima simu!!!
Sure, hivi just imagine ukisema uwakumbuke marafiki zako wote kuanzia primary, secondary,chuo,kazini,mtaani si itakuwa balaa maana kila simu unatengeneza marafiki wapya kutokana na sehem uliyopo
trust me
Kuchat ni hiyari na kamwe huwez force, lakini kwanini usitumie/wasitumie ustaarabu kusema wako busy au hawapo kwenye mood kuliko kuuchuna mpaka jamaa wa watu anawaza mengine!!kuna watu wa namna hiyo kuchaat muuda inakua ngumu kama hana cha kukuambia basi anakaa kimya tu
lakini kuna watu kama mtoa mada wanapenda sana active comn jambo ambalo ni gumu kwa wengine
mkuu mimi nashndwaga kutoa reason naona niwe kmya tuHili neno limekumbusha mbali, kuna mtu anapenda sana tamka hili neno!!
Kuchat ni hiyari na kamwe huwez force, lakini kwanini usitumie/wasitumie ustaarabu kusema wako busy au hawapo kwenye mood kuliko kuuchuna mpaka jamaa wa watu anawaza mengine!!
Hela hazitoshi, tena tuongeze mawasiliano kha....
Mi sipendi ongea na watu kwenye simu
kama hupend kuongea na watu kwenye simu kwanini unatumia simu?
I face the same problem, ila nami kwa sasa nimeamua kutowatafuta.Hello,
Kuna trend nimeanza kuiona haswa ninapojaribu ku-socialize na watu wa jinsia zote mbili - ke na - me kuwa mara nyingi najaribu ku interact na watu mpaka nahisi kama vile najipendekeza kwao.
1) Eg mtu ulisoma nae secondary na mlikuwa na a very good friendship baada ya Kupotezana kwa mda mrefu cku ukija kumtafuta mnaongea vizur the first day, cku nyingine anaku promise kuwa atakupigia then anakulia buyu, hata sms anachelewa kujibu au hajibu kabisa especially girls, (cjui labda wanahis ntawatongoza mm sielewi)
2) Naandika sms ndefu then mtu anakujibu 'k' sio kwamba yupo busy ila basi tu
3) Nikijikaza na kuamua kukaa mwezi mzima bila kuwasiliana na mtu watakaonitafuta kwa ajili ya kunijulia hali au kupiga stoty na mimi approximately hawazidi watu 5 out of contacts 105 za watu watu wa karibu nlizo nazo kwenye simu yangu.
4) Mimi sina hulka ya kuwa mkali, na niko peace with almost every one sielew tatizo nini au jamani hili ni swala la kawaida kabisa.
5) Saa nyingine mpaka najihisi ni kwa sababu mm sio tajiri ndo maana watu wananipotezea. Nimechoka ku feed other people's ego
Jamani kuna mwingine ana experience tatizo kama hili au?
Unataka kuanza kuchati na wake za watu kisa ulisoma nao? Fanya yako bana, kuwa na simu sio ndo uwe unachat chat tu bila sababu za msingi.