Nisipowapigia simu marafiki zangu, wao hawanitafuti

Nina imani kwa asilimia 95 kuwa kama ningekuwa tajiri hao hao wanaonipotezea, wangeanza kuntext na kunipigia simu kwa pretext ya kunijulia hali au kupiga story na mimi miss chagga
 
Last edited by a moderator:
Nina imani kwa asilimia 95 kuwa kama ningekuwa tajiri hao hao wanaonipotezea, wangeanza kuntext na kunipigia simu kwa pretext ya kunijulia hali au kupiga story na mimi miss chagga
sidhani kama inaweza kuwa hivyo.... lakini kwa nini usiwe tajiri?
 
People will love you and support you when its beneficial - Nicki Minaj
 
Kuongea muda mrefu story za kizembe inachosha sana, tumia vocha kutengeneza dili za pesa, naamini hutopata muda wakuchat na kuongea na simu zisizo na tija.
 
sio lazima uwasiliane na hao unaodai ulisoma nao,binafsi watu wengi ninaowasiliana nao ni kibiashara zaidi na wala sio marafiki wala ndugu,ukiwa bizi hauwezi pata hata muda wa kuwaza wakupigie au uwapigie
 
Hello,

Kuna trend nimeanza kuiona haswa ninapojaribu ku-socialize na watu wa jinsia zote mbili - ke na - me kuwa mara nyingi najaribu ku interact na watu mpaka nahisi kama vile najipendekeza kwao.

1) Eg mtu ulisoma nae secondary na mlikuwa na a very good friendship baada ya Kupotezana kwa mda mrefu cku ukija kumtafuta mnaongea vizur the first day, cku nyingine anaku promise kuwa atakupigia then anakulia buyu, hata sms anachelewa kujibu au hajibu kabisa especially girls, (cjui labda wanahis ntawatongoza mm sielewi)

2) Naandika sms ndefu then mtu anakujibu 'k' sio kwamba yupo busy ila basi tu

3) Nikijikaza na kuamua kukaa mwezi mzima bila kuwasiliana na mtu watakaonitafuta kwa ajili ya kunijulia hali au kupiga stoty na mimi approximately hawazidi watu 5 out of contacts 105 za watu watu wa karibu nlizo nazo kwenye simu yangu.

4) Mimi sina hulka ya kuwa mkali, na niko peace with almost every one sielew tatizo nini au jamani hili ni swala la kawaida kabisa.

5) Saa nyingine mpaka najihisi ni kwa sababu mm sio tajiri ndo maana watu wananipotezea. Nimechoka ku feed other people's ego

Jamani kuna mwingine ana experience tatizo kama hili au?

Rafiki umeshaisha hapo
 
Hapo hapo kwenye namba 2,! Mtu unamwandikia sms kama vile "Good night my best friend" anavyokujbu sa " U 2"
hii tabia inanikeraga sana.
 
Kuongea muda mrefu story za kizembe inachosha sana, tumia vocha kutengeneza dili za pesa, naamini hutopata muda wakuchat na kuongea na simu zisizo na tija.

Sawa lkn sometimes wa2 wanaona huyu hana connection yyte, hawez nsaidia chochote dats why wanakulia buyu
 
Hello,

Kuna trend nimeanza kuiona haswa ninapojaribu ku-socialize na watu wa jinsia zote mbili - ke na - me kuwa mara nyingi najaribu ku interact na watu mpaka nahisi kama vile najipendekeza kwao.

1) Eg mtu ulisoma nae secondary na mlikuwa na a very good friendship baada ya Kupotezana kwa mda mrefu cku ukija kumtafuta mnaongea vizur the first day, cku nyingine anaku promise kuwa atakupigia then anakulia buyu, hata sms anachelewa kujibu au hajibu kabisa especially girls, (cjui labda wanahis ntawatongoza mm sielewi)

2) Naandika sms ndefu then mtu anakujibu 'k' sio kwamba yupo busy ila basi tu

3) Nikijikaza na kuamua kukaa mwezi mzima bila kuwasiliana na mtu watakaonitafuta kwa ajili ya kunijulia hali au kupiga stoty na mimi approximately hawazidi watu 5 out of contacts 105 za watu watu wa karibu nlizo nazo kwenye simu yangu.

4) Mimi sina hulka ya kuwa mkali, na niko peace with almost every one sielew tatizo nini au jamani hili ni swala la kawaida kabisa.

5) Saa nyingine mpaka najihisi ni kwa sababu mm sio tajiri ndo maana watu wananipotezea. Nimechoka ku feed other people's ego

Jamani kuna mwingine ana experience tatizo kama hili au?

Wanakutenga kwa kuwa upo sisiemu jaribu kuamia ukawa utapata sms nyingi, calling nyingi, kwa kila siku
 
Maisha yana mambo mengi. Mtu hata kama aliwahi kuwa best yako, mnapokua mbali mbali inabidi maisha yake yaendelee, anapata marafiki wengine kama alivyokupata wewe. Na hao wa karibu wanakua na vitu vingi in common kuliko wewe wa mbali. So kama hawawasiliani na wewe, usidhani kama hawakukumbuki. Wewe endelea na maisha yako tu. Kingine kumbuka sio kila unaehisi ni best wako na yeye anafeel the same.
 
Back
Top Bottom