Nishaurini: Nimegundua pesa ninazompa anahonga mwanaume mwingine

Usikute dogo mwenyewe Mimi mkuu maana nakula ela za dem wangu ananiambia kuna boya hapo mmjini amemnunulia hadi plot kama najiona mm huyo hivi,,,,kila akiniambia nisindikize mm nichil kisehemu akifika kuondoka ananistua tukutane stel tu
 
Achana naye, akifirisiwa na huyo anayempa. Atakuja akutafute tena..then uamuzi utakuwa ni wako.
 
Mm sasaiv nina ki I S T mkuu kutokana na hizo ela za dem wako,,ebu nambie anaitwa Nana na anasoma WAP!?
 
Usikute dogo mwenyewe Mimi mkuu maana nakula ela za dem wangu ananiambia kuna boya hapo mmjini amemnunulia hadi plot kama najiona mm huyo hivi,,,,kila akiniambia nisindikize mm nichil kisehemu akifika kuondoka ananistua tukutane stel tu
Kama ni wewe utakua na bahati mbaya sana, utaumaliza mwaka vibaya
 
Mm sasaiv nina ki I S T mkuu kutokana na hizo ela za dem wako,,ebu nambie anaitwa Nana na anasoma WAP!?
Kama ni wewe subiria tuu maumivu, lakin naomb mungu usiwe wewe member mwenzangu wa jf maana kitakachokukuta ni fedheha kwakweli
 
kuchapiwa ni siri ya ndani mvalishe kufuli au mpe mimba icho kimarioo kiache hakina kosa kimepewa free lunch kikatae kweli
 
Kwanza mlaani shetani kabisaaa usije kumwaga damu ya binaadam mwenzako

We mpotezee tu Kwan nn?Assume kama unatoa sadaka huyo atarudi tu
Tena wala usimwambie tuachane mkaushie tu akikutafuta chunaa asikupotezee mda wako
Bado hajajua maana anatamaa tu
Asante kwa ushaur
 
Kama ni wewe subiria tuu maumivu, lakin naomb mungu usiwe wewe member mwenzangu wa jf maana kitakachokukuta ni fedheha kwakweli
Mkuu nambie jina lake mkuu tujuane ili tujue tunafanya circulation ya ela yako ukimpa nampiga alafu narudisha kwako,, usiniendee Mombasa mkuu
 
Mkuu nambie jina lake mkuu tujuane ili tujue tunafanya circulation ya ela yako ukimpa nampiga alafu narudisha kwako,, usiniendee Mombasa mkuu
Kama niwewe subiri tuu kula kichapo, kuliwa kiboga mbele yake then kutupwa cocobeach
 
Ntakapomtumia watu wasiojulikana tukimpeleka mabwepande ndio tutajua nani kamuibia mwenzie
Wewe mdhibiti mpenzi wako. Kama unataka ushauri usiweke mawazo yako itaonyesha tayari una msimamo na huhitaji ushauri.

Mie nakushauri mdhibiti huyo denti wako. Kaa naye kwako. Akikushinda achana naue hakupendi.

Pesa haijawahi kuleta mapenzi ya kweli. Acha kutanguliza pesa kwenye mahusiano. Ikifilisika itakiwaje??
 
WATANZANIA SISI TUNA MAISHA YA KUCREM SANA, NDIO MAANA JUZI NLICOMMENT HAPA JF KUNA UZI ULIKUA UNAWAHUSU WALIOKUA NA PESA WAKAZITUMIA RAFU, NKAONGEA UKWELI WANGU KUA NLIKUA NA M180 MWAKA JANA BUT NOW NNA 136 WATU WAKASHANGAA SANA!! WAKANIONA MUONGO!!!

NDUGU ZANGU
KILA ANAESEMA VYUMA VIMEKATA HAMAANISHI HANA PESA KABISA, WENGINE TUNAMAANISHA KIASI TULICHOKUA TUNAKIINGIZA HAKIINGII TENA KAMA TULIVYOZOEA, YANI INAYOTOKA NI NYINGI KULIKO INAYOINGIA

SIO KILA MTU AKISEMA VYUMA VIMEKAZA ANAMAANISHA HANA KITU
 
Kama niwewe subiri tuu kula kichapo, kuliwa kiboga mbele yake then kutupwa cocobeach
Mkuu uzuri sitembei peke yangu na anajua ndio maana jeuri pale kawe kama nyumbani mkuu,,Nina vijana wazuri mbaya kaka muulize chin biz aliembetua alikuwa nan
 
Back
Top Bottom