Mtoto mbich akat unesema kuna dogo anamng'oa,af dogo hata haong yan,hahah,si hak kabsa,hahahahNamwibia baba??!?! Hahhahahehh, sawa asante kwa ushauri
Ila m8 sio kitu kwa kuhonga ukimpata mtoto m'bichi
Kama ni wewe utakua na bahati mbaya sana, utaumaliza mwaka vibayaUsikute dogo mwenyewe Mimi mkuu maana nakula ela za dem wangu ananiambia kuna boya hapo mmjini amemnunulia hadi plot kama najiona mm huyo hivi,,,,kila akiniambia nisindikize mm nichil kisehemu akifika kuondoka ananistua tukutane stel tu
Hapa jf wanaotoa ushauri serious kama weae ni wachache sana, wengine masihara mengiAchana naye, akifirisiwa na huyo anayempa. Atakuja akutafute tena..then uamuzi utakuwa ni wako.
Kama ni wewe subiria tuu maumivu, lakin naomb mungu usiwe wewe member mwenzangu wa jf maana kitakachokukuta ni fedheha kwakweliMm sasaiv nina ki I S T mkuu kutokana na hizo ela za dem wako,,ebu nambie anaitwa Nana na anasoma WAP!?
Asante kwa ushaurKwanza mlaani shetani kabisaaa usije kumwaga damu ya binaadam mwenzako
We mpotezee tu Kwan nn?Assume kama unatoa sadaka huyo atarudi tu
Tena wala usimwambie tuachane mkaushie tu akikutafuta chunaa asikupotezee mda wako
Bado hajajua maana anatamaa tu
Ndugu yangu mahesabu yako ya kitoto sana, kwani kila baaada ya miezi minne ntakua namnunulia kiwanja?? Au umemaanishajeHongera boss... kwa hiyo kwa mwaka utakuwa umedhamhonga M32.
Mkuu nambie jina lake mkuu tujuane ili tujue tunafanya circulation ya ela yako ukimpa nampiga alafu narudisha kwako,, usiniendee Mombasa mkuuKama ni wewe subiria tuu maumivu, lakin naomb mungu usiwe wewe member mwenzangu wa jf maana kitakachokukuta ni fedheha kwakweli
Kama niwewe subiri tuu kula kichapo, kuliwa kiboga mbele yake then kutupwa cocobeachMkuu nambie jina lake mkuu tujuane ili tujue tunafanya circulation ya ela yako ukimpa nampiga alafu narudisha kwako,, usiniendee Mombasa mkuu
Giv mi a brake!Sasa kama umeshka hela nying mbona kuskia tuu m8 kala demu unatokwa gas
I second uhuna jeuri ya kumhonga mtu milion 8 wewe.acha fix,si ajabu hata mlo mmoja kwako ni tatizo
Wewe mdhibiti mpenzi wako. Kama unataka ushauri usiweke mawazo yako itaonyesha tayari una msimamo na huhitaji ushauri.Ntakapomtumia watu wasiojulikana tukimpeleka mabwepande ndio tutajua nani kamuibia mwenzie
Mkuu uzuri sitembei peke yangu na anajua ndio maana jeuri pale kawe kama nyumbani mkuu,,Nina vijana wazuri mbaya kaka muulize chin biz aliembetua alikuwa nanKama niwewe subiri tuu kula kichapo, kuliwa kiboga mbele yake then kutupwa cocobeach