Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Umeshapata mwingine ndo maana amekutoka rohoni,Ushauri wangu usimuache mwenzio katika hali yake aliyonayo sasa ataumia sana.
NB;Enyi wanaume wa kibongo huwa tunawapenda kwa status flani ikiwemo fedha,kazi,akili darasani tofauti na nyie mnatupenda kwa appearance i mean hips,weupe,chuchu,ta.ko n.k so kiufupi huwa mna mapenzi ya kweli ila sisi tukiona vitu flani tunavyovitegemea vinayayuka na penzi linapotea huo ndo ushetani wetu ulivyo.Nasema hivyo kwa sababu we angalia situation au uhusiano mwingi unawezekana kuona mwanamke hana kazi mwanaume anayo kazi hapo huwa hakiaribiki kitu ila iwe vice versa inakuwa tabu sana uhusiano kuendelea vizuri na hii inatokana na sababu kubwa ya wanawake wanaojiona warembo kuwa tegemezi na kuutegemea uzuri wao uwatoe maishani.Na hii inapelekea wanaume watutese na kutunyanyasa.
dah! inatia uruma kipi kimekufanya umtoe moyoni? kisa hana kazi au?..je akipata kazi nzuri utamrudisha moyoni...
fanya kitu roho yako inataka.......
Mwanaume ninae ishi nae nilikutana nae chuoni na alinisaidia sana kuanzia kimasomo mpaka matumizi yote.Hatujafunga ndoa. Baada ya chuo tuliajiriwa kwenye mashirika tofauti kazi ambayo naifanya mpaka sasa. Mwaka mmoja baada ya yeye kuajiriwa aliachishwa kazi kwa tuhuma ambazo hajaziweka wazi kwangu.
Mimi ndiye mfanya maarifa sasa. Kuanzia tule nini mpaka tuvae nini na ela ya bia nampa.Ameitiwa kazi nyingi ila hataki anasema ana mpango wa kuwa mjasiriamali dalili sizioni.
Nikifikiria hajanioa na nikimwangalia hana dalili hata ya kunikutanisha na watu wa kwao naona napoteza wakati.pia ukimwambia suala la ndoa anakuwa mkali hataki kusikia. Naletewa habari zake nyingi mbaya naogopa kumwambia tuachane kutokana na hali aliyonayo sasa. Amenilemea jamani. Nashindwa nifanyeje. Nakumbuka alivyokuwa msaada wangu nashindwa kumuacha.
Nakosa hata hamu ya mapenzi kwake. Namuona wa kawaida sana hana jipya.
Natamani apate kazi atakayoipenda(maana anachagua kazi na mahali kwa kisingizio cha ujasiriamali) ili hata nikimuacha asiwe na lawama. Kwa ukweli nilishamtoa rohoni siku nyingi nipo nae apate tu riziki yake anitoke.
Mwanaume wa kulala mpaka saa nne asubuhi!! Amenichosha jamani.!! Ananipotezea muda naona.
Naombeni ushauri ndugu zangu.
Kizazi hiki ni matatizo matupu,wengi hudhani mapenzi ni raha pekee,huu ndio wakati wa kuyapima yale mapenzi uliyokuwa ukiyahubiri kwake wakati ana kitu.
Ulimpenda kwa kuwa alikuwa anakusaidia masomo na kukupa pesa?Mwenza wako unashindwa kukaa nae na kujua tatizo ni nini!Mapenzi ya siku hizi taabu tupu ndio maana hata ndo ahazidumu maana ungekuwa kwenye ndoa saa hizi umekwishatafuta mwanaume nje.
Umeshapata mwingine ndo maana amekutoka rohoni,Ushauri wangu usimuache mwenzio katika hali yake aliyonayo sasa ataumia sana.
NB;Enyi wanaume wa kibongo huwa tunawapenda kwa status flani ikiwemo fedha,kazi,akili darasani tofauti na nyie mnatupenda kwa appearance i mean hips,weupe,chuchu,ta.ko n.k so kiufupi huwa mna mapenzi ya kweli ila sisi tukiona vitu flani tunavyovitegemea vinayayuka na penzi linapotea huo ndo ushetani wetu ulivyo.Nasema hivyo kwa sababu we angalia situation au uhusiano mwingi unawezekana kuona mwanamke hana kazi mwanaume anayo kazi hapo huwa hakiaribiki kitu ila iwe vice versa inakuwa tabu sana uhusiano kuendelea vizuri na hii inatokana na sababu kubwa ya wanawake wanaojiona warembo kuwa tegemezi na kuutegemea uzuri wao uwatoe maishani.Na hii inapelekea wanaume watutese na kutunyanyasa.
dawa yake mpotezee kimya kimya
Anataka kuwahi mzigo kabla haujawahiwa na mwingine!!!:rockon:
Kivipi? Anakaa kwangu. Au me niondoke? Niende wapi?
LET THIS BE A LESSON TO ALL MEN OUT THERE: WHEN POVERTY ENTERS THROUGH THE DOOR LOVE ESCAPES THROUGH THE WINDOW!!! moral of the story is....kamata gegeda tupa kule
Sijapata mtu mwingine. Na sina mpango wa kuwa na mtu nikiwa na huyu. Ila ukweli ni kwamba mwanaume asie chacharika anakera sana. Hapa anakaa kwangu.Sipendelei wanawake tegemezi ila mwanaume tegemezi usiombe ukutane nae. Bora mwanamke.
Wewe unaenda nje ya mada..Hapa hakuna Poverty ila ni kujitakia..Kwa nini akatae kazi???Wewe unaweza kuishi kwa kulelewa huku unakataa kazi?? Na isitoshe huyu dada kamwambia wafunge ndoa ya kimya nayo bado anakataa...Lawama zote ziende kwa huyu kaka unless mdada kuna vitu anavificha
kwa mtindo huo ni kweli ndo mnavotaka, hamtaki natural selection but survival of the fittest lead by wealth. Mkitaka ivo ni noma, wana waume wanashika mipni nyie mkishika kwenye makali,nani asiyependa kazi?inakuingia akilini mtu achukie kazi alale?mambo bado jamani...mpe muda mwenzio.
Unavuna ulichopanda kwa maana hakuna utaratibu wa kihivyo katika mahusiano; kinachojulikana ni posa na kisha kuolewa; sasa kama umempelekea jamaa mzigo kwa akili yako ni kwa hasara yako rudi kwenu haraka, mpangie kiasi cha pesa ya kumsaidia kibinadamu kila mwezi hadi apate kazi ajipange aje aoe. Kinyume cha hapo angalia mbele na maisha yako acha ujinga wa ustaarabu wa kimagharibi ambao kimsingi ni kujiunga na ufreemason kimyakimya.Usimuacha katika mazingira hayo hana kazi. Kuhusu ndoa ni wewe kutambua mlikubaliana muishi pamoja kawa matarajio gani? Kuishi pamoja kabla ya ndoa ni mara nyingi ni matatizo hasa kwa binti, mume anaweza akakosa pesa ya mahari na harusi, lakini anaposhindwa kukutambulisha hata ndugu hawakutambui, muda si mrefu utalia wewe. Muhudumie kwa upendo, apate kazi yake. Kama hamna dalili ya ndoa akipata kazi, tafakari uchukue hatua. Ndoa+vyeti na ndugu kuwatambua ni muhimu sana.
Kizazi hiki ni matatizo matupu,wengi hudhani mapenzi ni raha pekee,huu ndio wakati wa kuyapima yale mapenzi uliyokuwa ukiyahubiri kwake wakati ana kitu.
Ulimpenda kwa kuwa alikuwa anakusaidia masomo na kukupa pesa?Mwenza wako unashindwa kukaa nae na kujua tatizo ni nini!Mapenzi ya siku hizi taabu tupu ndio maana hata ndo ahazidumu maana ungekuwa kwenye ndoa saa hizi umekwishatafuta mwanaume nje.
Unaweza fikiri kuwa ni selfish lkn Mwanaume mvivu anaweza kujifichia kwa sababu unazotoa..Kwa nini ukatae kazi wakati huna kazi!?Si afanye wakati anasubiri ukurugenzi...Swali la pili kwa nini hataki kumtambulisha kwa ndugu zake?!?Anaogopa nini?!Na kwa nini hataki kufunga ndoa?!U dont know the importance of time kwa sisi wadada ndio maana unaona ni sawa tu.
pole kw yanayokukuta ila usiache ushauri wa dada white...dada white kakueleza ukweli kuwa kwa wanawake wasio na kazi sisi wanaume uwa hatuna neno kwa kuwa tuna mapenzi ya kweli ila kwa wadada basi ishakuwa nongwa kwa mwenzio kukaa bila kazi, unasema hafanyi kazi na anachagua kazi ,ivi unataka mtu aliye na elimu ya shahada hata akiitwa usekretary wa mshahara laki na nusu aende??? Dada white katoa mchango mzuri, mimi mjomba wangu ni injiania na ana maela kibao ila mke wake wa kisambaa ni std vii na sijawai kusikia lawama kuwa y hana kazi. Mfano mwingine, mimi nlipokuwa chuo nlikuwa na g.friend aliyenitegemea kwa kila kitu mpaka maji ya kunywa na usafiri, nlipomaliza chuo mwaka mzima sina kazi nategemea boom lake akiwa udsm, nimekataa kazi uchwara,nlikuwa na usafiri nkauza ili niweze kuishi japo sikuwai kumwomba bia... mpaka nimekuja kufanikiwa sikuwai kuambiwa kwa nini namtegemea uyo binti kwa kila kitu , baadae maisha yakanyoka...nimekuja kutengana nae kwa sababu zilizo genuine ila mpaka leo tunatembeleana kila mtu kwake na yeye hajaolewa nami sijaoa ili urafiki wetu ukopale pale. Hadija ukifanikiwa usione mwenzio hana maaana, pia usijemwacha eti hana kazi alafu kesho apate na mshahara wa kukuzunguka mara tatu ndo uanze kujigonga upya..acha izo Hadija. Ila kama umempata anayekuridhisha hasa ktk mapenzi,mweleze mwenzio for good ila si hana kazi...mafanikio uja baadae.
maoni: Uyo mwenzio usimpe ela ya bia,mpe basic needs tu ,akitaka anasa atafte ila basics apate ,apo akili itamrudia kama hataki kazi.Wasalaam
LET THIS BE A LESSON TO ALL MEN OUT THERE: WHEN POVERTY ENTERS THROUGH THE DOOR LOVE ESCAPES THROUGH THE WINDOW!!! moral of the story is....kamata gegeda tupa kule