Umeshapata mwingine ndo maana amekutoka rohoni,Ushauri wangu usimuache mwenzio katika hali yake aliyonayo sasa ataumia sana.
NB;Enyi wanaume wa kibongo huwa tunawapenda kwa status flani ikiwemo fedha,kazi,akili darasani tofauti na nyie mnatupenda kwa appearance i mean hips,weupe,chuchu,ta.ko n.k so kiufupi huwa mna mapenzi ya kweli ila sisi tukiona vitu flani tunavyovitegemea vinayayuka na penzi linapotea huo ndo ushetani wetu ulivyo.Nasema hivyo kwa sababu we angalia situation au uhusiano mwingi unawezekana kuona mwanamke hana kazi mwanaume anayo kazi hapo huwa hakiaribiki kitu ila iwe vice versa inakuwa tabu sana uhusiano kuendelea vizuri na hii inatokana na sababu kubwa ya wanawake wanaojiona warembo kuwa tegemezi na kuutegemea uzuri wao uwatoe maishani.Na hii inapelekea wanaume watutese na kutunyanyasa.