Nishaurini Ndugu zangu juu ya huyu mwanamke

Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
nyie wasenge ndo maana mnajinyonga.Kwanin unafosi mapenzi wakati mademu/wanawake kibao.

Wewe ndo unamfosi huyo malaya awe na wewe na atakusumbua mpaka mwisho wa dunia.
 
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini

Niliposoma paragraph ya mwisho, nimekufananisha na yale matoto mazembe yaliyolelewa kimayai mayai ambayo yakiguswa kidogo tu yanaishia kuchimba biti la "nitakusemea kwa mama"...

Mtu kama wewe hata tukikushauri tutakuwa tunapoteza muda tu, pambana na uduanzi wako...
 
Jamaa mpaka kaniudhi
 
Awee mamaa weee
Ingekua ungefanyajeee
Awee mama weee
Ingekua ungefanyajee

Mwenzenu nakosewa mimii
Na msamaha naombaa mimii
Awee mama wee ingekua ungefanyajee.

Atist:Bushoke
Hahahaaa..... JFs huwezi kuwa na stress kamwe.....naenda youtube nikasikilize vizuri Bushoke.
 
Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
We kima Mwiba1 njoo huku
 
Mimi ni mwanaume wa miaka 27, nina mchumba tuliyedumu miaka 3 sasa kuanzia 2021 tulipomaliza chuo pamoja na mpaka sasa tunaishi pamoja

Nafanya kazi Kampuni ya mawasiliano na yeye anasoma masters huku akifanya kazi Bank moja hapa jijini. Wakati tunaanza mahusiano kila mmoja alikuwa wazi kuhusu historia yake ya mahusiano ambapo mimi hapo awali niliwahi kuwa na mpenzi mmoja tu ila yeye aliwahi kuwa nao watatu. Tulikubaliana kwa pamoja mwaka huu 2024 nikafanye utambulisho kwao then swala la mahari lifate

Mara nyingi nakuta message za mapenz kwny simu yake kutoka kwa wapenzi wanaume wa zamani ila alikuwa mwepesi kuomba msamaha na kukiri kuacha na anasema hana mpango nao ni mawasiliano tu. Lakini hakuacha tabia hii alifuta majina zikaonekana namba tu na yupo makini sn na sim yake hata bafuni alikuwa anaenda nayo.

Pamoja na hayo alichojibu baada ya kumtaka kumfahamu anawasiliana na nani ni hiki:
1. Huna haja ya kufaham marafiki zangu
2. Huyu nilianza nae mahusiano kabla yako
3. Nina uwezo wa kuwa hata na wanaume 10 ni maisha yangu.

Naumia sana wandugu sijui la kufanya, ameomba msamaha kuwa ni shetani tu kampitia. Nishaurini ndugu zangu nifanye nini
Hiyo namba 3 ni jibu lako, kama umeshindwa kuchukua hatua mpaka sasa mbeleni kuna kiza kinene. Mwanamke ana kupenda hawez kukutamkia kauli kama hizo
 
Back
Top Bottom