Ndugu zangu msomeni huyu mwanamke halafu mnipe ushauri

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,946
5,852
Ndugu wana Jf.

Hii ni comment yangu nimeiweka mahali ila naona nikiifanya uzi nitapata mawazo mazuri zaidi

Nina binti wa kichagga kwa upande wa mawasiliano yangu na yeye ni mwendo wa mchaka mchaka, na hivi ndivyo anavyo nipeleka kama nilivyo ainisha kwenye hii comment hapo chini kuhusu namna anavyo nipeleka kimawasiliano

""Mimi hapa na tafutwa sana na huyu mwanamke wangu, ananipeleka mbio mbio sana yani sipumziki, siii meseji sii kupigiwa napelekwa mbio kweli inabidi tuu nifate upepo wake huku nimeshikilia akili zangu sawa sawa maana naweza ziacha njiani

Na kwenye kugegedana sasa ni mbio mbio tuu kwa kweli muda wote yeye ananyege yani sipumziki wakuu na kila wakati anataka kuniona . Natamani ni mwambie ila naona acha tuu ni mvumilie japo vihela vya hapa na pale nampampa."

Wakuu hapa napendwa au ndiyo imekaaje ?
 
Siku ukiishiwa na hivyo vihela ndiyo utajua Mchagga ni nani
 
Sometime nikimjibu sina anajibu sawa , ila shida ni mbio mbio yani sipumui wakuu, hapa hata nikisema ni danganye mtoto wa mtu sina mwanamke lazima ni kamatwe labda ni nunue laini nyingine ya siri sana
 
Ni mimi tu ndio sijamuelewa mleta uzi? Kila nikirudia kusoma naona 'mbio mbio tu'
Napigiwa simu kila wakati, kila dakika, natumiwa meseji kila mara na nikichelewa kujibu simu inapigwa .. yani hapa hata chance ya kuchepuka sipati na ole wangu nisipatikane na penzi napewa mpaka na legea kabisa yani naona anaelekea kunizidi stamina
 
Ndugu wana Jf.

Hii ni comment yangu nimeiweka mahali ila naona nikiifanya uzi nitapata mawazo mazuri zaidi

Nina binti wa kichagga kwa upande wa mawasiliano yangu na yeye ni mwendo wa mchaka mchaka, na hivi ndivyo anavyo nipeleka kama nilivyo ainisha kwenye hii comment hapo chini kuhusu namna anavyo nipeleka kimawasiliano

""Mimi hapa na tafutwa sana na huyu mwanamke wangu, ananipeleka mbio mbio sana yani sipumziki, siii meseji sii kupigiwa napelekwa mbio kweli inabidi tuu nifate upepo wake huku nimeshikilia akili zangu sawa sawa maana naweza ziacha njiani

Na kwenye kugegedana sasa ni mbio mbio tuu kwa kweli muda wote yeye ananyege yani sipumziki wakuu na kila wakati anataka kuniona . Natamani ni mwambie ila naona acha tuu ni mvumilie japo vihela vya hapa na pale nampampa."

Wakuu hapa napendwa au ndiyo imekaaje ?
Nipe namba yake DM nimuonye aache hiyo tabia mbaya...
 
Je kipindi unamtongoza ulitupasha habari?

Maji yakufikie shingoni ndio uje na mistori yako

Huo ni usengenyaji kama na yeye yupo "m-tag hapa tuwape ushauri wa pande zote mbili"

Usirudie tena kutuambia mambo mliyokuwa mkiyaita siri za ndani nkt.
 
Napigiwa simu kila wakati, kila dakika, natumiwa meseji kila mara na nikichelewa kujibu simu inapigwa .. yani hapa hata chance ya kuchepuka sipati na ole wangu nisipatikane na penzi napewa mpaka na legea kabisa yani naona anaelekea kunizidi stamina
hapa nimekuelewa sasa mkuu, vipi unaichapa ipasavyo lakini? Yani ile mpo kwenye game unaichapa mpaka mtoto anakwambia inatosha ila kijeba huelewi unaendelea kukamatia kiuno kama beberu mpaka mtoto anakusukuma kwa nguvu unaanguka kuleee mzima mzima na p#mb# zako, unajiinua umfate tena unakuta mtoto kabana mapaja na kupitiwa na usingizi wa pono. Akitoka hapo sidhani kama atakutafuta mara kwa mara.
 
Ndugu wana Jf.

Hii ni comment yangu nimeiweka mahali ila naona nikiifanya uzi nitapata mawazo mazuri zaidi

Nina binti wa kichagga kwa upande wa mawasiliano yangu na yeye ni mwendo wa mchaka mchaka, na hivi ndivyo anavyo nipeleka kama nilivyo ainisha kwenye hii comment hapo chini kuhusu namna anavyo nipeleka kimawasiliano

""Mimi hapa na tafutwa sana na huyu mwanamke wangu, ananipeleka mbio mbio sana yani sipumziki, siii meseji sii kupigiwa napelekwa mbio kweli inabidi tuu nifate upepo wake huku nimeshikilia akili zangu sawa sawa maana naweza ziacha njiani

Na kwenye kugegedana sasa ni mbio mbio tuu kwa kweli muda wote yeye ananyege yani sipumziki wakuu na kila wakati anataka kuniona . Natamani ni mwambie ila naona acha tuu ni mvumilie japo vihela vya hapa na pale nampampa."

Wakuu hapa napendwa au ndiyo imekaaje ?

Binadamu wanasiri nyingi inawezekana ni kama anakufanyia maigizo na kukuweza bize ujue unapendwa,all in all live the moment usimpe trust yako yote.
 
Yani hapa na tembea na akili kabisa na moyo wangu nimempa mama yangu anifichie kwanza
 
Back
Top Bottom