Nishaurini mwenzenu

Tayari kila mtu na mpango wake ila anaongea upuuzi kuhusu mimi

Ina maana tayari ushamuacha, haina haja wewe kuwa kivyako tu usisikilize maneno ya watu au upuuzi auongeao kuhusu wewe.
Ila hapo juu inaonekana km bado unampenda na ndio maana inakuuma!

anakuja akiwa na shida tu!!!!!!!!!!! ina maana you are not there hadi anakuja wakati wa shida, pia uvumi wa picha za utupu ina maana huna uhakika, proove kwanza hili. kisha uje kwa ajili ya ushauri

Ni kweli bwana lazma alete baadhi ya uthibitisho tuanze kufunguka.. Tunaweza kushauri kumbe ni rafiki tu
 
Ina maana tayari ushamuacha, haina haja wewe kuwa kivyako tu usisikilize maneno ya watu au upuuzi auongeao kuhusu wewe.
Ila hapo juu inaonekana km bado unampenda na ndio maana inakuuma!

Kumpenda kweli nampenda ila moyo wangu umeshka kutu
 
Back
Top Bottom