Nishaurini, mwanamke anapokuwa chanzo cha umaskini

Nishaurini, mwanamke anapokuwa chanzo cha umaskini

Gracious

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
1,889
Reaction score
1,083
Ndugu zangu,Miezi mitatu iliyopita nilikutana na binti mmoja mrembo sana kwenye chombo cha usafiriIlikua ni usiku,baada ya kukaa sehemu moja nikawa nime anzisha conversation ambayo mwanzoni haikupokelewa vizuri lakini baada ya kuonekana kusisitiza basi maongezi yakanoga.

Huyu binti ndani ya muda mfupi alinieleza mambo yake mengi mwishoni tukabadilishana namba za simuBaada ya kuagana kesho yake nikaomba appointment ambayo haikukataliwa tukaonanaIkawa kila siku nikitoka kazini ananitafutanikiwa kazini ananifuata ananisubiri jioni twende nyumbani Ilichukua wiki moja tu tangu kufahamiana nikawa nimejuana nae.

Ikawa ni kila siku asubuhi saa nne anakuja kazini kwangu jioni ananisubiri anipeleke home.Anabadili magari ndani ya wiki moja anakuwa na zaidi ya magari mawili tofauti.Tangu nimefahamiana nae amekuwa akiendesha Rav 4,Mark X,Brevis,Murrano na Benz, haya ndiyo amekua akibadili zaidi.

Huyu binti ana connection kubwa sana na wanasiasa kuanzia mkulu hadi wengineo wakubwa wote sio chama tawala.sio upinzani Kwake kupiga kwa mkulu ni kawaida.Tatizo langu kubwa nikimuhoji kinagaubaga kazi yake ni nini ananijibu anamanage projects mbalimbali kitu ambacho sijawahi kukielewa kabisa it doesnt click na ukimuhoji sana ili kujua specifics mnagombana.

Mimi kazi yangu siyo ya kipato kikubwa kihivyooo.Lakini binti anaamua tu kwenda sehemu ambazo ni za gharama kwangu bila kunitaarifu alafu nikifika ananiambia ni settle bill.Kwa mfano one day akawa ananisubiri mjini kumuuliza uko wapi.

Akaniambia niko serena njoo kufika ameshaspend laki 3 mimi kwangu hio ni kubwa sana hasa kama sikupanga then ananipa mimi ni settle hajanitaarifu before kwamba tunaenda pale.

Kubadili nywele mara mbili kwa wiki nikimwambia hiyo siwezi sina pesa ugomvi naambiwa mimi bahili.Katika movement zote of course ni mimi nimekuwa nikizigharamikia.Akija kwangu kuna nguo zake ameachahataki kuzivaa tena kila akija anataka nimnunulie nguo nyingine ya kuvaa kesho yake.Kwa hio kwa wiki anataka mnunue nguo saba.

Kumpenda nampenda lakini naona kama ananirudisha nyuma.Nimemkalisha kumweleza aelewe hali halisi.Mgumu kunielewa,tunagombana then.Tatizo langu lingine hapa hata kama una pesa vipi mipangilio ni muhimu huyu binti wangu haelewi na hapo mnagombana.

Jamani nikosoeni nishaurini kama kuna kitu nakosea.

Update:
JF nashukuru sana,Asanteni ndugu zangu wote mliochangia katika thread hii.Hatimaye nimehitimisha hili suala.Ingawa imekuwa kwa kuumia kiasi.

Nilifanya yafuatayo;
1.Niligoma kabisa kutoa hela yoyote nikamwambia nina hali ngumu ya uchumi...nikamwomba yeye anisupport -Baada ya kusema nina hali ngumu ugomvi mkubwa ulizuka pasipo na sababu ya msingi hadi jana ambapo niliamua kusitisha ule ujinga.

2.Nilifuatilia nyendo zake bila yeye kujua...nilichotambua yule binti ni kahaba ambaye anajiuza kwa wanasiasa.Kipindi cha bunge lililopita huyu binti alikua dodoma...nimefuatilia pasipo shaka...hicho ndicho anachokifanya.

3.Magari amekua akichukua kwa mwanaume mmoja ana yard...Yeye pia ni mteja wake....Kwa hio amekua akichukua gari na kutembea nalo....anabadili...likiuzwa anachukua lingine.

4.Nyumba anayokaa ni ya dada mmoja rafiki yake ambaye yuko Arusha kikazi.

Nashukuru sana Wana JF......Kutokana na ushauri wenu nimeweza kutambua haya na kuweza kuachana na hii nightmere.

 
ili maisha yaende kwa aman lazma pawe na maelewano na makubaliano na kuheshim maamuzi ya mwenza wako.
Lakn kama hayo hayawezekan basi yakupasa kumtafuta unaeendana naye.... Huyo sio level yako japo maisha hayana formula
 
Hehhehe.sidhani ka ana connection hizo unazotaja.na kama ni kweli anazo na pesa inaingia ya nini akuhenyeshe wewe?apo nahisi alikua anakuchota tuu usimwone ana njaa ila in real sense anaztaman sana hela zako.mi sioni sababu ya kukuita usettle billz akati yeye yuko vyema.in short huyo binti wako(as you adressed her)hana ishu(financially) na anapenda kuishi kikubwa.living large akati vyombo hana.powley.
 
Hehhehe.sidhani ka ana connection hizo unazotaja.na kama ni kweli anazo na pesa inaingia ya nini akuhenyeshe wewe?apo nahisi alikua anakuchota tuu usimwone ana njaa ila in real sense anaztaman sana hela zako.mi sioni sababu ya kukuita usettle billz akati yeye yuko vyema.in short huyo binti wako(as you adressed her)hana ishu(financially) na anapenda kuishi kikubwa.living large akati vyombo hana.powley.

Inawezekana kweli akawa anaazimwa tu magari na mtu?
Unachokisema ni kitu ambacho nakidhania .........tatizo sijapata conclusive evidence
 
Na kudeddicate nyimbo ya nikki wa pili...ile anasema ktk mistari yake Mungu nijaalie demu mpenda pesa ili apate motisha ya kutafuta zaidi
 
Kama unamgonga kisawasawa,tigo anakupa na yuko submissive sioni sababu ya kulalamika

Katika mambo ya kitandani huko pako sawa kabisa...tatizo langu liko katika matumizi...kutiana umaskini
 
Mkuu...hata kama ni member potelea pote

Huyu binti ndani ya muda mfupi alinieleza mambo yake mengi...mwishoni tukabadilishana namba za simu

Tatizo langu kubwa nikimuhoji kinagaubaga kazi yake ni nini ...ananijibu anamanage projects mbalimbali...kitu ambacho sijawahi kukielewa kabisa...it doesnt click.......na ukimuhoji sana ili kujua specifics mnagombana.

mambo mengi yapi???
 
kama mtu anakupenda kwanini akufiche???
.
.
na ww kwanin ung'ang'anie wakati anakuharibia maisha na kukutia hasara???
 
mambo mengi yapi???

Katika siku ya kwanza kuonana mtu anakueleza hadi anapoishi...wazazi wake walipo...elimu yake...anachopendelea na asichopendelea...na kadhalika...hayo ni mambo mengi...ila kuna mengine ya msingi kama hilo la kazi...hapo ipo shida
 
kama mtu anakupenda kwanini akufiche???
.
.
na ww kwanin ung'ang'anie wakati anakuharibia maisha na kukutia hasara???

Mkuu.....sometimes kwa watu tunaowapenda nadhani ni vizuri kujaribu kurekebisha au kujitazama kama kuna kitu nakosea ili nijirekebishe ...kabla ya kuamua kuachana
 
.......nguo mpya 7 kwa wiki hiyo kali!!
Napenda kuvaa ila siyo ninunue nguo mpya kila siku...... Hiyo ni big Noooo!! Huyo mchuchu wako ni hatari.

Hutakuwa na maendeleo yoyote kwa mwendo huo, bora umwambie ukweli na ukubali kuitwa bahili.
 
Katika siku ya kwanza kuonana mtu anakueleza hadi anapoishi...wazazi wake walipo...elimu yake...anachopendelea na asichopendelea...na kadhalika...hayo ni mambo mengi...ila kuna mengine ya msingi kama hilo la kazi...hapo ipo shida

taja sababu zinazokupelekea mpaka leo kuwa nae licha kukuficha kazi yake na kukutia hasara ya gharama za matumizi bila kujali kipato chako...
 
taja sababu zinazokupelekea mpaka leo kuwa nae licha kukuficha kazi yake na kukutia hasara ya gharama za matumizi bila kujali kipato chako...

Mkuu tayta nahisi nampenda na nisingependa kumpoteza...nilidhani naweza kumrekebisha katika hili.

Ni miezi mitatu niko nae...ndio maana nimeomba mnikosoe ,kama ni ujinga pia mniambie...kama kuna kitu naweza fanya kuendelea kuwa nae na akabadilika niambieni......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom