Pole wamekuona wewe mpumbavu ktkt hiyo familia yao na mpaka wanadiliki kukupiga mikwara.
Unaambiwa usinipigie simu nawewe unaridhika bro, huyo siyo mke wa kuoa huyo anakuona wewe ATM na hakuna mapenzi kwako tena kimbia mbali naye ,na usiruhusu mawasilano naye ikiwezekana badili namba ya cm ili upotezane naye usije mruhusu atoe maelezo na ukabadili msimamo kwa kumuonea huruma