Nishaurini kuhusu huyu dada

inauma sana kupendwa usipopendwa du yan unapoteza mda kaka move on japo inauma
 
duh umejisifu ila umeshahu kuniambia kama unapesa aiseee
Hii we vipi wewe ivi wewe unadhani mimi mjinga?naweza tongoza biti wa kichaga wakati sina pesa? pesa ipo,sio pesa tu,nina redio ya picha,kabati ya baridi,nyumba,na toyota stout,he we unafikiri mi sijui,we nipe ruhusa tu upate raha.
 
Mkuu huyo anakufanya we wa akiba..Anataka siku kikiwaka huko alipo awe na sehemu ya kupumzikia..Cha msingi na we mfanye wa dharula..Endelea na mishe zako tu..Siku akijipendekeza kula mzigo zen huna habari

Kama anamfanya wa akiba yeye amfanye wa nyongeza tu
 
Hii we vipi wewe ivi wewe unadhani mimi mjinga?naweza tongoza biti wa kichaga wakati sina pesa? pesa ipo,sio pesa tu,nina redio ya picha,kabati ya baridi,nyumba,na toyota stout,he we unafikiri mi sijui,we nipe ruhusa tu upate raha.
nimekuruhusu .. nisamehe mkuu
 
Na wew mweke wa spea hivo hivo akipiga pokea, ukijiskia mtafute sikum akikubali donoa ila jua hapo hakuna mke wala mchumba
 
Mwanamke wa hvyo anakutumia ww km mtu wa kujfarij when akiwa na ugomv na mtu wake coz anajua unampenda...fanya kat ya haya:
Mpotezee, acha kumtafuta kwa cku kadhaa yani onyesha kama huna interest nae za mapenzi tena.

Kama ataanza kukutafuta, tengeneza mazingira ugonge kwanza mengine yafate au kama hasomeki achana nae mazima asikupotezee muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…