Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 875 Feb 6, 2014 #101 Utakuwa unatongoza wa level yako yani maji mara moja kwa hiyo usione ajabu na hayo mafanikio yako.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,621 Reaction score 14,577 Feb 6, 2014 Thread starter #102 Leomimi said: Utakuwa unatongoza wa level yako yani maji mara moja kwa hiyo usione ajabu na hayo mafanikio yako. Click to expand... Katika masuala haya hakuna levels mama. Si umesikia kijana wa miaka 26 kaoa mbunge wa miaka 60? Si umesikia katibu mkuu fulani (mwanamke) aliyekuwa na nyumba ndogo dereva kawke? Ya Mswati sina haja ya kuyaongea, maana kila mtu anayajua. Haya mambo hayana formula.
Leomimi said: Utakuwa unatongoza wa level yako yani maji mara moja kwa hiyo usione ajabu na hayo mafanikio yako. Click to expand... Katika masuala haya hakuna levels mama. Si umesikia kijana wa miaka 26 kaoa mbunge wa miaka 60? Si umesikia katibu mkuu fulani (mwanamke) aliyekuwa na nyumba ndogo dereva kawke? Ya Mswati sina haja ya kuyaongea, maana kila mtu anayajua. Haya mambo hayana formula.
Leomimi JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 2,547 Reaction score 875 Feb 6, 2014 #103 Level haina maana kimaisha tu hata tabia yaweza kuwa moja nadhani ni wa tabia yako
Jerrymsigwa JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 14,084 Reaction score 8,406 Feb 6, 2014 #104 Dawa tongoza mke wa mjeshi tu
Tarime one JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 2,246 Reaction score 1,742 Feb 6, 2014 #105 Una nyota ya chips kuku.